Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Poa Mtani. Naona tunazidi kuwasafishia njia kuelekea ubingwa.
Haya bana.Ndo uwezo mliobakiwa nao wa kusafisha barabara [emoji16]
Haya bana.
Tunajipanga na FA pamoja na kukiboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao 2020 / 2021.Kinyonge sana usijali mtani endeleeni kuwa wavumilivu
Tunajipanga na FA pamoja na kukiboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao 2020 / 2021.
yudono? πFA ya mwaka gan mtani
yudono? π
OOOHwei. We bakia hapo hapo tu.Pameshakucha acha kuota[emoji23]
Dua la kuku hilo.. Pole yenuIla hayana mmoja haya Bina.
Umetokolezea na miwani yako kama KOBEπππBina hebu tuache kwanza. ππ
Mtatafutana humu Binamu.Dua la kuku hilo.. Pole yenu
πππ BINA DUA MBAYA AOMBEWI NDUGUYO... UNAUVUNJA UDUGU KWA DROOπ¬π¬Mtatafutana humu Binamu.
πππππ BINA DUA MBAYA AOMBEWI NDUGUYO... UNAUVUNJA UDUGU KWA DROOπ¬π¬
Hicho kiparagraph cha mwisho kinawahusu wale waliomuhoji mzee wa Utopolo. ππView attachment 1485999
π€π€
Hicho kiparagraph cha mwisho kinawahusu wale waliomuhoji mzee wa Utopolo. [emoji853][emoji853]