Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wanakula kona na kukataa vyeo vyao walivyojitambulisha navyo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapo kwenye termination ndipo Yanga tunapowasubiri ma don kwenye himaya yetu, ila kwa bahati mbaya madon wenyewe wanakula kona ha ha ha ha
Mkataba haujaanza kutumika , unavunjwa bila malipo au kias kidogo sana
 
Aaah!! Kwa hiyo Kagame unataka kumaanisha nini eti?
Mimi Tena? Hao wahuni wanawakimbia muda wowote, shinikizeni viongozi waangalie la kufanya msije jikuta mnarudi kule kule kwa miaka yote, ukisoma between the lines hao hawako tayari kutia mpunga, ana interview nyingine alifanya wasafi anazungumza haya, mifano yake ni B Munich, Barcelona, Madrid, club zinazo milikiwa na mashabiki , it's clearly hawana nia

Kwakua viongozi wengi wa kiafrika hawawez fikiri mbali zaid ya urefu wa pua zao , hawaoni hili
 
Oooh!! Nilijua tu mwisho wako ni huo Mtani.πŸ˜€

Niseme tu haya ya Yanga tuachieni Yanga nyie mnaoona mbali kapazeni sauti Mo aingize ile 20B na sio maneno matupu.
 
Oooh!! Nilijua tu mwisho wako ni huo Mtani.πŸ˜€

Niseme tu haya ya Yanga tuachieni Yanga nyie mnaoona mbali kapazeni sauti Mo aingize ile 20B na sio maneno matupu.
Mo hatakiwi ingiza 20B , ila anatakiwa anunue amana za serikal zenye dhamani hiyo , faida itakayokua inapatikana ndio inatakiwa ije kwenye club

kuhusu jisime na nyie , the this isn't about mwisho wangu , ni mwisho wenu ambao mnakataa kuuona , tafuteni watu mapema ... narudia tafuteni watu mapema wakuja tia pesa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…