Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Haya yote munayaona nyie upande wa pili tu. Lol
Nyinyi si hamtaki kuona, huyo Engineer hua hamumsikilizi? mnamuelewa? mtu anaetaka kuwekeza kwako atasema haya?
Screenshot_20200624-134540.jpg
 
Aaah!! Kwa hiyo Kagame unataka kumaanisha nini eti?
Mimi Tena? Hao wahuni wanawakimbia muda wowote, shinikizeni viongozi waangalie la kufanya msije jikuta mnarudi kule kule kwa miaka yote, ukisoma between the lines hao hawako tayari kutia mpunga, ana interview nyingine alifanya wasafi anazungumza haya, mifano yake ni B Munich, Barcelona, Madrid, club zinazo milikiwa na mashabiki , it's clearly hawana nia

Kwakua viongozi wengi wa kiafrika hawawez fikiri mbali zaid ya urefu wa pua zao , hawaoni hili
 
Oooh!! Nilijua tu mwisho wako ni huo Mtani.😀

Niseme tu haya ya Yanga tuachieni Yanga nyie mnaoona mbali kapazeni sauti Mo aingize ile 20B na sio maneno matupu.
 
Mo hatakiwi ingiza 20B , ila anatakiwa anunue amana za serikal zenye dhamani hiyo , faida itakayokua inapatikana ndio inatakiwa ije kwenye club

kuhusu jisime na nyie , the this isn't about mwisho wangu , ni mwisho wenu ambao mnakataa kuuona , tafuteni watu mapema ... narudia tafuteni watu mapema wakuja tia pesa hapo
 
Back
Top Bottom