Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hahahaha, huyu mjanja mjanja, tuliwaonya humu
Uzuri alkuja wkt Yanga haina MTU wa maana ,sasa kavimba
Lkn ndio mwisho wake, washamalizana nae toka Jana Usiku ,hutomsikia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, na yeye analingia hilo hiloIla goli lake mpaka leo linaniuma aisee, maana ndiyo hilo kila tukiwatambia kuchukua ubingwa wanatukumbusha tar 8 March.
Hahahaha, Yanga na Jamaa wote wana makosaNoma sana, nina wasiwasi na kambi yake ya ushauri. Jamaa alikuwa ameshakuwa kipenzi cha washabiki na viongozi, ila kashindwa kuli handle vizuri hilo swala.
Ngoja tuone kama Simba watampokea, maana sioni kama anafit kwenye kikosi.
Hahahaha, Yanga na Jamaa wote wana makosa
Kwa walivyofikia hawezi kucheza Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ata nje atachezaje ? Mkuu yule wanamkomoa , we utasikia tu ,sitaki kuongea mengi wenye timu na mchezaji wao wapo ,watakujaSo, inabidi aende nje tena!
Hahahaha, ata nje atachezaje ? Mkuu yule wanamkomoa , we utasikia tu ,sitaki kuongea mengi wenye timu na mchezaji wao wapo ,watakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana mkataba na Yanga wa miaka 2,wakati anasaini huo akuijua thamani yake,na ukorofi ndio tabia yake ndio maana hajawahi kukaa japo misimu miwili kwenye klabu yyt nje ya ghana,ila sasa hivi kakiingia cha kike,Yanga atumuachi hivi hivi,Pamoja na kwamba jamaa yuko overrated, hili sakata linaniambia vitu viwili.
Uongozi hautekelezi majukumu yake ikiwemo ahadi ya mkataba kama ilivyotuaminisha mwanzoni.
Au jamaa anashauriwa vibaya kiasi kwamba anagoma kukaa meza ya makubaliano ili apate kuondoka.
Yote kwa yote, haileti afya kwenye soka letu.
Hahahaha, safi sana ,huyu Dogo Jana usiku kazingua sana camp walinziAna mkataba na Yanga wa miaka 2,wakati anasaini huo akuijua thamani yake,na ukorofi ndio tabia yake ndio maana hajawahi kukaa japo misimu miwili kwenye klabu yyt nje ya ghana,ila sasa hivi kakiingia cha kike,Yanga atumuachi hivi hivi,View attachment 1493862
Ana mkataba na Yanga wa miaka 2,wakati anasaini huo akuijua thamani yake,na ukorofi ndio tabia yake ndio maana hajawahi kukaa japo misimu miwili kwenye klabu yyt nje ya ghana,ila sasa hivi kakiingia cha kike,Yanga atumuachi hivi hivi,View attachment 1493862
Hahahaha, inabidi Simba wavunje mkataba ,acheze kwao ,kitu ambacho ni kigumuNoma sana.
Anajikomoa mwenyewe mkuu,Yanga imemsajili akiwa hana timu yoyote toka alipoondoka congo 2018,na ndio maana wakampa miezi 6,alipoonyesha ubora wake wakampa miaka 2,kipindi anasaini akujua thamani yake,mo kamuhaidi mshahara usd 10 imemvuruga,Yanga tutalia nae huyuHahahaha, ata nje atachezaje ? Mkuu yule wanamkomoa , we utasikia tu ,sitaki kuongea mengi wenye timu na mchezaji wao wapo ,watakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, inabidi Simba wavunje mkataba ,acheze kwao ,kitu ambacho ni kigumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Mkuu yote hayo nimesikia Jana ,mbn Jana Dogo kabanwa sana mpk akataka kupigana , na Nina hisi kaenda SA maana alibeba bags zakeAnajikomoa mwenyewe mkuu,Yanga imemsajili akiwa hana timu yoyote toka alipoondoka congo 2018,na ndio maana wakampa miezi 6,alipoonyesha ubora wake wakampa miaka 2,kipindi anasaini akujua thamani yake,mo kamuhaidi mshahara usd 10 imemvuruga,Yanga tutalia nae huyu
South africa aendi huyo,alichukua pesa ya chippa united,na wamemuambia lzm airudishe,baada ukorofi mwingi orlando ikataka imtoe mkopo chippa united,akala kama m 4 za kibongo toka chipa hlf akala kona,mikia kishawapiga m 23 huku akijua ana mkataba na Yanga 😃Hahahaha Mkuu yote hayo nimesikia Jana ,mbn Jana Dogo kabanwa sana mpk akataka kupigana , na Nina hisi kaenda SA maana alibeba bags zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, nadhani usiku huu yuko SA Jana kapewa kila kitu chakeSouth africa aendi huyo,alichukua pesa ya chippa united,na wamemuambia lzm airudishe,baada ukorofi mwingi orlando ikataka imtoe mkopo chippa united,akala kama m 4 za kibongo toka chipa hlf akala kona,mikia kishawapiga m 23 huku akijua ana mkataba na Yanga [emoji2]
viongozi wet wajanja wajanja, si morrison wala shishimbi aliesaini mkataba viongozi wanatudanganya kweupeKama kweli ali sign huo mkataba na sasa hivi anazingua, naona tatizo ni lake kwa kiasi kikubwa.
Labda tu kama Uongozi umeshindwa kutimiza makubaliano ya huo mkataba.