Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

penalty walionyimwa kagera na penalt tuliyopewa sisi yanaweza kuwa makosa ya kibinadamu lakini mpaka sasa sijaelewa yule bwanamdogo alipataje REDCARD
 
Good time aliyokua akiipata asahau,gharib alimuweka kwenye nyumba yake mbezi beach,nyumba yenye kila kitu hadi swimming pool,na alikua anapata favor nyinhi mno hadi wachezaji wenzie walianza maneno,kwenye hili hamna mchezaji wa Yanga asiefurahi,yan huyu sasa hivi ni wa kukaa shekilango na wenzie pambavu
 
NINA HAKIKA WALE VYA FUJO HUU UZI MNAUANGALIA NAMNA HII
IMG-20191204-WA0001.jpg
 
Hahaa akija hapa hiyo keshokutwa utasikia ooohh eeehh iiiiihhh yuu noo stili bado Yanga ni Yanga ofukozi bati amu shua, nini Shadeeya unataka kushua nini?😜😎
Hawa Kagera watatuletea balaa hapa ni swala la muda tu.
Hahahaaaa. Nimecheka lol.

Ndio amushua tunaachukua hii kitu Hivyo kapambane na hali yako leo. 🤣🤣
 
Hahahaaa. Wajua jana nilivyokuwa busy kwa Muhindi.
Hakuna cha Muhindi wala nini, kampuni la Wazungu hilo saa tisa mshamaliza kila kitu, sema ulikula kona umeibuka baada ya jana kubahatisha kwa Kagera Sukari😂😂😂
 
Kuna watu kesho watacheza huku wanaogopa picha wanayoiona mbele yao hivyo kwa hofu itabidi wafungwe tu ili wakiepuke kikombe hicho[emoji4]
Hahahaaa. Naona ile saa mechi inaendelea wote wali log out kwanza. 😂😂😂

Wapambane na hali zao huku Wananchi tunawasubiria hata leo tuwapige kidude. 😂😂
 
Back
Top Bottom