Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200701_102013.jpg
 
"Nimeongea naye mara kadhaa lakini nasikitika sana maana toka nirejee kijana siyo alivyokuwa, Morrison kabadilika sana na nimeshindwa kumuelewa tena ndio maana leo nimeamua kumuondoa kambini hawezi kuwa sehemu ya kikosi changu kwa tabia zake, hili swala sitoliongelea zaidi uongozi wa klabu utatolea ufafanuzi. . na kuhusu Molinga ni mchezaji anayekosa hasa match fitness tu na anapaswa kupungua kilo 2 - 3 "

Luc Eyamel.
 
Hahahaaa. Naona ile saa mechi inaendelea wote wali log out kwanza. 😂😂😂

Wapambane na hali zao huku Wananchi tunawasubiria hata leo tuwapige kidude. 😂😂
Mkuu Jiandae kisaikolojia kabisa
 
Hahahahahahahahah Nilikwambia mapema njia ya Yanga kucheza kombe la Shirikisho ipo kwenye mdomo wa Simba.....MMEKWISHA MMEKWISHA........Hahahahahahahahah Azam hana pakutokea leo.
Hahahaaaa. Lol.

Mfunge kwanza huyo Lambalamba kisha ndo uje nikukumbushe namna vile wananchi wanacheza wakikutana na 5imba.
 
Wanufaika wakuu wa maamuzi ya marefu , ila wanavyojua kupiga kimya sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu yamefululiza , sasa yatokee upande mwingine, hata mechi moja tu , hatulali
 
Wanufaika wakuu wa maamuzi ya marefu , ila wanavyojua kupiga kimya sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu yamefululiza , sasa yatokee upande mwingine, hata mechi moja tu , hatulali
Umesahau kwenu zilikuwa zaidi ya mechi sita?
 
Hahahaaaa. Nimecheka lol.

Ndio amushua tunaachukua hii kitu Hivyo kapambane na hali yako leo. 🤣🤣
Aisee Shadeeya unajua mpaka sasa kuna maswali najiuliza kuhusiana na kile nilichokiona jana lakini sipati majibu kabisa?😟
 
Back
Top Bottom