Tofalizito
JF-Expert Member
- Mar 28, 2020
- 343
- 1,267
VaisivesaisituruuuuHatimaye ile safari yetu ya matumaini ya kubeba kombe la FA inahitimishwa leo na wana super mkurukumbi Kagera sugar.
Kila la kheri Kagera sugar goli 3 zinawafaa sana hawa Mkunungu.
Hahahaaaa. Nimecheka lol.Hahaa akija hapa hiyo keshokutwa utasikia ooohh eeehh iiiiihhh yuu noo stili bado Yanga ni Yanga ofukozi bati amu shua, nini Shadeeya unataka kushua nini?ππ
Hawa Kagera watatuletea balaa hapa ni swala la muda tu.
πππUsisite kutupia hata zile za kuparurana na wachezaji wenye vitambiπππ
πππ
Binamu tutake radhi hebu. ππ
Taarifa zipi?Halooo nyie humu lia lia fcπππ
Taarifa zenu tunazo sio mnajikausha
Hakuna cha Muhindi wala nini, kampuni la Wazungu hilo saa tisa mshamaliza kila kitu, sema ulikula kona umeibuka baada ya jana kubahatisha kwa Kagera SukariπππHahahaaa. Wajua jana nilivyokuwa busy kwa Muhindi.
Hahahaaa. Naona ile saa mechi inaendelea wote wali log out kwanza. πππKuna watu kesho watacheza huku wanaogopa picha wanayoiona mbele yao hivyo kwa hofu itabidi wafungwe tu ili wakiepuke kikombe hicho[emoji4]
Kaka nilijuta kutoa buku 5 yangu yaani kiti hakikaliki kwa mahovyo hovyo ya pale Uwanjani.Daah tumeshinda leo ila natoka uwanjani nimechokaaa,timu yetu haichezi vizuri kusema ukweli Shadeeya
Aah!! Mtani refa naye ni binadamu ujue. πHivi Mtani imekuwaje siku hizi mechi zenu wapinzani wanapewa kadi za magumashi?
Aah!! Mtani refa naye ni binadamu ujue. π
Daaah jana nipo jukwaani,mtu umeenda kufurahi ila umechoooka kabisaAisee!! Ule ni ujinga tunacheza. Yaani roho juu tu wanatuweka hawa wachezaji. Lol