Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Baada ya mapumziko ya corona timu nyingi zinaonekana kuchoka, hata ukiangalia ligi za majuu utaona utofauti.

Wachezaji walipumzika na hawakuwa wakifanya mazoezi kwa usahihi.
Yetu imezidi Mtani.

Mana kina Adeyum na kina Makame wana vitambi kabisa.
 
Azam fc tunawapenda sana lakini kwa hapa mlipofika mtatusamehe tu,Tunawahitaji hawa jamaa sana
Najua wajua namna hizi mechi huwa zinakuwa Mtani.

Sisi tunakuhitaji zaidi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
A aah inachosha sana kwakweli lazima benchi la ufundi lijitafakari
Kabisa. Kuna saa natamani Ligi na haya makombe yangekuwa yameishafika mwisho tuone wanajipanga vipi kwa next season mana ndio ninachokitamani sasa na sio presha presha hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…