Hahahahahahahahah Nilikwambia mapema njia ya Yanga kucheza kombe la Shirikisho ipo kwenye mdomo wa Simba.....MMEKWISHA MMEKWISHA........Hahahahahahahahah Azam hana pakutokea leo.Amiin amiiin amiiin.
Ifike hebu ziongezeke zaidi hizo kelele.
Hahahaha, mtani tuliwaambia khs Dogo humu , kawazingua hujasikia?Nilikuwa busy jana Mtani sikuipata hii kulikoni?
Mkuu Jiandae kisaikolojia kabisaHahahaaa. Naona ile saa mechi inaendelea wote wali log out kwanza. πππ
Wapambane na hali zao huku Wananchi tunawasubiria hata leo tuwapige kidude. ππ
Hahahaaaa. Lol.Hahahahahahahahah Nilikwambia mapema njia ya Yanga kucheza kombe la Shirikisho ipo kwenye mdomo wa Simba.....MMEKWISHA MMEKWISHA........Hahahahahahahahah Azam hana pakutokea leo.
Hapana jana sikugusa simu hivyo nikawa sijui nini kimeendelea.Hahahaha, mtani tuliwaambia khs Dogo humu , kawazingua hujasikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka kocha kashindwa kumvumilia. Aisee!!Hahahaha, mtani tuliwaambia khs Dogo humu , kawazingua hujasikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha..Alizingua sana hy juzi usiku pale camp kwaoMpaka kocha kashindwa kumvumilia. Aisee!!
Hahahaha ,juzi usiku napita na mishe zangu nafika Regency hotel ndio nakuta hilo timbwiliHapana jana sikugusa simu hivyo nikawa sijui nini kimeendelea.
Ila ni kichefu chefu yule Mtani.
Duuh!! Kumbe!! π€Hahahaha ,juzi usiku napita na mishe zangu nafika Regency hotel ndio nakuta hilo timbwili
Ila vzr naona mmeamua kumbana na mkataba wa makubaliano
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ngoja tuoneDuuh!! Kumbe!! [emoji848]
Ila kaingia cha kike safari hii.
Aliyekuotesha mwambie akuoteshe na leo. πππ Mana jana hujatia neno. LolUshaanza kuomba msaada[emoji16]
Umesahau kwenu zilikuwa zaidi ya mechi sita?Wanufaika wakuu wa maamuzi ya marefu , ila wanavyojua kupiga kimya sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu yamefululiza , sasa yatokee upande mwingine, hata mechi moja tu , hatulali
Aisee Shadeeya unajua mpaka sasa kuna maswali najiuliza kuhusiana na kile nilichokiona jana lakini sipati majibu kabisa?πHahahaaaa. Nimecheka lol.
Ndio amushua tunaachukua hii kitu Hivyo kapambane na hali yako leo. π€£π€£
Kipi hicho tena Mtani ambacho mi sijakiona? ππAisee Shadeeya unajua mpaka sasa kuna maswali najiuliza kuhusiana na kile nilichokiona jana lakini sipati majibu kabisa?π