Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mmejileta wenyyewe.

Haya wale mnaojifanya mabingwa wa kubet betini na hii. 😂😂
Nilikwambia jana hatima ya Yanga kwa msimu huu itaamuliwa na Simba sasa subiri uone.
Kombe haupati
Michuano ya kimataifa hauendi.
 
Walete hao Mkunungu fc
 

Attachments

  • 84332157_1252900018240634_1320235649294401536_n.jpg
    7 KB · Views: 1
Hahahaaa. Kutoka hapo ulipo si gari moja tu mpaka pale tiefuefu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda kisha utuletee hizo fidibaki [emoji41] Mtani.
nyinyi ndio mna case huko sio sisi, sisi tunamtaka huyo mliefikishana nae huko , tupeni report
 
BREAKING NEWS:

Mkunungu de Utopolo yatangaza rasmi kuja na marefa wao mashuhuri Shomary Lawi na Elly Sassii pamoja na wachawi wao kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya Tanzania katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Mabingwa wa nchi Simba sc.
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufanya hivi ni kutokana na hofu kubwa waliyonayo baada ya kuona Mpira mkubwa wa kutisha kutoka kwa Mnyama mkali Simba sc.
 
Picha la kutisha
 
5imba koko mkia fc ongeeni kujitapa tu ila msije na matokeo yenu mfukoni, maana mnaongea kama vyerehani.. Wekeni akiba ya maneno, spirit fight ya team ya azam na yanga ni tofauti sana so msitegemee mechi itakua rahisi kama kumpiga search kipofu lazima machozi, jasho na damu vitoke.
Kimchezo naipa hi game 50/50 anything can happen hasa hizi mechi za mtoano na derby hazinaga nani ni underdog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…