kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Hawa ni Simba ilihali ninyi ni Thimba!Balaa linakuja Utopolo de Mkunungu muwe tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni Simba ilihali ninyi ni Thimba!Balaa linakuja Utopolo de Mkunungu muwe tayari.
Naona umeanza kuweeeseka ha ha ha
Nimeona kuna picha ikionyesha Abdallah Shaibu "Ninja" naye alikiwepo akiwa ametinga nyuzi za wananchi sasa sijui alipiga nao hadi zoezi!
Naona kabisa kocha aliyebeba ubingwa Wa ligi anafukuzwa baada ya tarehe 12-07-2020Hahahahaa. Wanatafuta visingizio.
Mechi tushaimaliza hii Kaka. [emoji3][emoji3] Mwisho wa siku tunawaachia maswali wajiulize kwa nini wamekuwa mdebwedo kwa Timu ya Wananchi.
Sina hakika kama alipiga zoezi lakini alikuwepo jana.Nimeona kuna picha ikionyesha Abdallah Shaibu "Ninja" naye alikiwepo akiwa ametinga nyuzi za wananchi sasa sijui alipiga nao hadi zoezi!
Naona kabisa kocha aliyebeba ubingwa Wa ligi anafukuzwa baada ya tarehe 12-07-2020
Hahahaaa. Wanalo!!Naona kabisa Muhindi huko Twitter akitishia kuachana na timu baada ya tarehe 12 Julai
😂😂😂Na makofi juu!
Embu kawasaidie wenzako kutafuta wachawi siku zinaisha ujue,😀Hahahahaaa. Yaani nyie ndio mnatambaga mna soka la kutisha lakini ndio mnachachawa mbaya Mtani.
Na nyie tafuteni wachawi ili twende sawa. Teh teh. 😂😂😂
Sawa Shadeeya.😂😂😂 yangu macho.
.Naona umeanza kuweeeseka ha ha ha