Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200703_101203.jpg
 
Hahahahaa. Wanatafuta visingizio.​

Mechi tushaimaliza hii Kaka. [emoji3][emoji3] Mwisho wa siku tunawaachia maswali wajiulize kwa nini wamekuwa mdebwedo kwa Timu ya Wananchi.​
Naona kabisa kocha aliyebeba ubingwa Wa ligi anafukuzwa baada ya tarehe 12-07-2020
 
Nimeona kuna picha ikionyesha Abdallah Shaibu "Ninja" naye alikiwepo akiwa ametinga nyuzi za wananchi sasa sijui alipiga nao hadi zoezi!
Sina hakika kama alipiga zoezi lakini alikuwepo jana.

Huyu Ninja na yule Haji Mwinyi wanaihusudu sana Timu ya Wananchi. Ile game ya 2-2 walikuwepo nao Taifa wakiifuatilia wakati kila mmoja alikuwa na timu yake.
 
Naona kabisa kocha aliyebeba ubingwa Wa ligi anafukuzwa baada ya tarehe 12-07-2020
Hawachelewi hao Kaka.

Mtani Viol alisema huwa hawana uvumilivu. 😂😂😂 Hivyo hapo si ajabu hata benchi zima la ufundi likafukuziwa mbali. 😂😂😂
 
Hahahahaaa. Yaani nyie ndio mnatambaga mna soka la kutisha lakini ndio mnachachawa mbaya Mtani.

Na nyie tafuteni wachawi ili twende sawa. Teh teh. 😂😂😂
Embu kawasaidie wenzako kutafuta wachawi siku zinaisha ujue,😀
Halafu nakushauri siku hiyo usiende uwanjani bado tunakupenda.😬
 
Back
Top Bottom