Hivi yanga kwa ninj wasimrudishe huyu dogo? Mana anaipenda timu na kiwango chake si habaKaka nilijuta kutoa buku 5 yangu yaani kiti hakikaliki kwa mahovyo hovyo ya pale Uwanjani.
Kuna saa yule Muhilu ni kama alitufumbia macho pale alipobaki na Metacha.
Vipi mkuu kiwewe kimeanza!?BREAKING NEWS:
Mkunungu de Utopolo yatangaza rasmi kuja na marefa wao mashuhuri Shomary Lawi na Elly Sassii pamoja na wachawi wao kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya Tanzania katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Mabingwa wa nchi Simba sc.
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufanya hivi ni kutokana na hofu kubwa waliyonayo baada ya kuona Mpira mkubwa wa kutisha kutoka kwa Mnyama mkali Simba sc.
Mwelekeo ni huu. Picha la kutisha hili!hamjatupa feedback TFF huko imekuaje
michezo yake ya mwsho kabla ya kuhama mtaaMwelekeo ni huu. Picha la kutisha hili!View attachment 1496052View attachment 1496053View attachment 1496054
Msiba Wa kujitakia haunaga kilioKosa Simba alilofanya ni kumfuata mamba kwenye kina kirefu.
Ngoja awafunge tena kwanza mtamchukua tunyinyi ndio mna case huko sio sisi, sisi tunamtaka huyo mliefikishana nae huko , tupeni report
Sawa ngoja awapige tenamichezo yake ya mwsho kabla ya kuhama mtaa
We unaonaje Mkunungu?Vipi mkuu kiwewe kimeanza!?
Nadhani ipo aja ya kumuangalia kwa jicho la pili huyu dogo.Hivi yanga kwa ninj wasimrudishe huyu dogo? Mana anaipenda timu na kiwango chake si haba
Hahahaaa. Hapo kuliwa lazima aisee.Kosa Simba alilofanya ni kumfuata mamba kwenye kina kirefu.
Hahahahaaa. Lol.nyinyi ndio mna case huko sio sisi, sisi tunamtaka huyo mliefikishana nae huko , tupeni report
Hahahahaaa. Yaani nyie ndio mnatambaga mna soka la kutisha lakini ndio mnachachawa mbaya Mtani.BREAKING NEWS:
Mkunungu de Utopolo yatangaza rasmi kuja na marefa wao mashuhuri Shomary Lawi na Elly Sassii pamoja na wachawi wao kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya Tanzania katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Mabingwa wa nchi Simba sc.
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufanya hivi ni kutokana na hofu kubwa waliyonayo baada ya kuona Mpira mkubwa wa kutisha kutoka kwa Mnyama mkali Simba sc.
😂😂😂 yangu macho.Haikuondolei kipigo Mkunungu de Utopolo.
Utatu mtakatifu.
Naona umeanza kuweeeseka ha ha haWe unaonaje Mkunungu?