Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kaka nilijuta kutoa buku 5 yangu yaani kiti hakikaliki kwa mahovyo hovyo ya pale Uwanjani.

Kuna saa yule Muhilu ni kama alitufumbia macho pale alipobaki na Metacha.
Hivi yanga kwa ninj wasimrudishe huyu dogo? Mana anaipenda timu na kiwango chake si haba
 
De Mkunungu anzeni kutafuta waganga mapema tarehe 12 si mbali msije mkalaumiana.

Shomary Lawi fc
 
BREAKING NEWS:

Mkunungu de Utopolo yatangaza rasmi kuja na marefa wao mashuhuri Shomary Lawi na Elly Sassii pamoja na wachawi wao kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya Tanzania katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Mabingwa wa nchi Simba sc.
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufanya hivi ni kutokana na hofu kubwa waliyonayo baada ya kuona Mpira mkubwa wa kutisha kutoka kwa Mnyama mkali Simba sc.
Vipi mkuu kiwewe kimeanza!?
 
hamjatupa feedback TFF huko imekuaje
Mwelekeo ni huu. Picha la kutisha hili!
IMG-20200703-WA0034.jpg
IMG-20200703-WA0028.jpg
 
Kweli Utopolo fc ndo mana mnaitwa Vyura fc, Yani mchezaji ambaye ametoka kuwapanda kichwani afu anakuja mazoezi mnasema muongeze sauti wakati kuna wachezaji ambao hata hawajalipwa lakini wanaendelea kuipambania timu hamjawahi kuwaposta kuwa sifia.
Endeleeni kuongeza sauti sisi Mabingwa tuna ongeza sauti za kuchukua zawadi za ubingwa, tumeanza Jana kwa sport pesa tunafuata tareh 8 kule Lindi
 
Balaa linakuja Utopolo de Mkunungu muwe tayari.
 
Attachments

  • 69484448_2323930777855739_1367182059906269184_n.jpg
    69484448_2323930777855739_1367182059906269184_n.jpg
    14.2 KB · Views: 1
BREAKING NEWS:

Mkunungu de Utopolo yatangaza rasmi kuja na marefa wao mashuhuri Shomary Lawi na Elly Sassii pamoja na wachawi wao kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya Tanzania katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Mabingwa wa nchi Simba sc.
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kufanya hivi ni kutokana na hofu kubwa waliyonayo baada ya kuona Mpira mkubwa wa kutisha kutoka kwa Mnyama mkali Simba sc.
Hahahahaaa. Yaani nyie ndio mnatambaga mna soka la kutisha lakini ndio mnachachawa mbaya Mtani.

Na nyie tafuteni wachawi ili twende sawa. Teh teh. 😂😂😂
 
Kama kawaida mazoezi yaliendelea jana kwa timu ya Wananchi kujiwinda dhidi ya Biashara United.

20200703_101138.jpg
 
Back
Top Bottom