Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Sema Simba juuu. Utopolo wee.Hawa ni Simba ilihali ninyi ni Thimba!
Unahisi bwana kapteni alimaanisha nini hapa? Mana alipost hii punde tu baada ya mikia kuingia nusu fainali
Tena kama kule kwetu vigaga wapo kibao ngoja nitafute contacts zao kisha niwape wakawatafute 😀😀😀 (jokes)Embu kawasaidie wenzako kutafuta wachawi siku zinaisha ujue,😀
Halafu nakushauri siku hiyo usiende uwanjani bado tunakupenda.😬
Safari hii uchawi hautamisaidia kitu.Hahahahaa. Wanatafuta visingizio.
Mechi tushaimaliza hii Kaka. 😀😀 Mwisho wa siku tunawaachia maswali wajiulize kwa nini wamekuwa mdebwedo kwa Timu ya Wananchi.
Nipo tayariiiiiii!!!!View attachment 1496181
Uko tayari?
Ewaaaa!! Naamini kama kawaida itakuwa siku nzuri ambayo itajaa maboresho kibao.Nipo tayariiiiiii!!!!
Hahahaaaa. Tucheze Soka Mtani hizi imani tuwaachie wengine.Safari hii uchawi hautamisaidia kitu.
Simba nguvu moja
Hakika!Ewaaaa!! Naamini kama kawaida itakuwa siku nzuri ambayo itajaa maboresho kibao.
Tujiandae Wananchi.
Sema Simba juuu. Utopolo wee.
Simba nguvu moja
Ha ha ha ha
Utakuwa unewasaidia sana😜Tena kama kule kwetu vigaga wapo kibao ngoja nitafute contacts zao kisha niwape wakawatafute 😀😀😀 (jokes)
Hahahaa!! Daah!! Mtani ujue sina historia ya kuangalia mechi ya Simba na Yanga nyumbani.
Alimaanisha hofu.Unahisi bwana kapteni alimaanisha nini hapa? Mana alipost hii punde tu baada ya mikia kuingia nusu fainali
View attachment 1496198
Ila nimependa angalau sasa hivi tunajitahidi kwenye kutafuta pesa hasa baada ya kufungua banda letu kule 7 7.Hakika!
Letis weit endi sii Mtani.Utakuwa unewasaidia sana😜
Sawa nenda lakini hakikisha unarudi kwa miguu yako mwenyewe usiwape watu kazi ya kukubeba. Maana siku hiyo itakuwa zaidi ya Horror Show.
Sawa Shadeeya tusubiri siku husika ya Mnyama mkali Simba kutafuna Chura bila huruma.Hahahaaaa. Tucheze Soka Mtani hizi imani tuwaachie wengine.
Sawa mwananchi mwenye hasira kali.
Hakika. Muje kwa wingi. 😀Sawa Shadeeya tusubiri siku husika ya Mnyama mkali Simba kutafuna Chura bila huruma.
Simba nguvu moja
Hatimae mmeletaHahahahaaa. Lol.
Amefungiwa mechi ngapi kwani?Sawa ngoja awapige tena