Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Asante sana mkuu....Jaa Azam walitawla sana kiungo.....Mwinyi Kazimoto alifichwa sana....Dogo Salum Aboubakari 'Sure Boy' anatisha alimiliki kiungo kama chake.....Simba wamshukuru sana Shomari Kapombe hiyo janaasante kwa kulitambua hilo mkuu batalanda BTW hongera na happy birthday..
Ni kweli kiongozi, leo nimeona marudio kupitia ITV nikasikitika; sijui hawa makocha weupe tunawapenda nini kuwakabizi, hakika hawana cha ziada ktk timu zetu.Asante sana mkuu....Jaa Azam walitawla sana kiungo.....Mwinyi Kazimoto alifichwa sana....Dogo Salum Aboubakari 'Sure Boy' anatisha alimiliki kiungo kama chake.....Simba wamshukuru sana Shomari Kapombe hiyo jana
Balatanda: hapo hakuna cha head to head, goals difference Simba ina 17 na Yanga 16. Yanga ingeshinda 2-0 ndo ingeendelea kukaa kileleni.Yanga tayari wamerudi kileleni(kwa head to jead ya magoli ya kufunga).....
Kikosi chetu na Zamalek leo hiki hapa:
1.Shaban Hassan Kad - 1
2.Shadrack Nsajigwa - 2
3.Stephano Mwasika - 3
4.Nadir Haroub Cannavaro - 23
5.Athuman Iddy Chuji - 18
6.Juma Seif Kijiko - 29
7.Omega Seme - 9
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Davies Mwape - 28
10.Kenneth Asamaoh - 26
11.Hamis Kiiza -20
Substitutes:
1.Said Mohamed -30
2.Oscar Joshua - 4
3.Chacha Marwa - 24
4.Kiggi Makasy - 7
5.Shamte Ally - 15
6.Pius Kisambale - 11
7.Jeryson Tegete - 10
Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi wataalamu Pius Kisambale na Shamte Ally......Hawa ni wazuri sana ukilinganisha na Mwape na Asamoah.....Huyo Asamoah mechi iliyopita na Ruvu Shooting alikuwa anakimbia uwanjani hovyo tu.....
Sina imani kabisa na kikosi chetu hiki cha leo...Shadrack Nsajigwa!!!!.................Mmmmmmmmmmh
Halafu pale nyuma huyo Chuji ni mzito sijapata kuona...
Kipute kunaonyeshwa kwenye channel gani mkuu
wanaogopa kupunguza kipato hao...
kaka watu wamehamasishwa...............shabiki za kwetu pumbafu kabisa. Watu wako kimya kukumbuka marehemu, wao wanapuliza vuvuzela. Jinga kabisa...
Kikosi chetu na Zamalek leo hiki hapa:
1.Shaban Hassan Kado - 1
2.Shadrack Nsajigwa - 2
3.Stephano Mwasika - 3
4.Nadir Haroub Cannavaro - 23
5.Athuman Iddy Chuji - 18
6.Juma Seif Kijiko - 29
7.Omega Seme - 9
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Davies Mwape - 28
10.Kenneth Asamaoh - 26
11.Hamis Kiiza -20
Substitutes:
1.Said Mohamed -30
2.Oscar Joshua - 4
3.Chacha Marwa - 24
4.Kiggi Makasy - 7
5.Shamte Ally - 15
6.Pius Kisambale - 11
7.Jeryson Tegete - 10
Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi wataalamu Pius Kisambale na Shamte Ally......Hawa ni wazuri sana ukilinganisha na Mwape na Asamoah.....Huyo Asamoah mechi iliyopita na Ruvu Shooting alikuwa anakimbia uwanjani hovyo tu.....
Sina imani kabisa na kikosi chetu hiki cha leo...Shadrack Nsajigwa!!!!.................Mmmmmmmmmmh
Halafu pale nyuma huyo Chuji ni mzito sijapata kuona...
Mwape na Asamoah hawafai mkuu....Bora angewachezesha Shamte,Kisambale ama Tegete.....Mwape, Asamoah, Kiiza ndani kwa wakati mmoja? Nani ataingia kubadili mchezo pale mbele hali ikihitaji hivyo?