Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kuna timu ya kuogopa sio Simba kitu ambacho wengi wenu hamkijui sisi tunajua tuwashike wapi mtulie!
Hakika na tukishamshika basi hana pa kufurukuta hapo ndio lawama zinahamishiwa ushirikinani.

Wakati wale jamaa kifiziki hawatuwezi hata robo.
 
Umekuwa kapole leo. 😂😂
Nashukuru Shadeeya kwa kufuata ushauri wangu niliokupa, nilikuambia usiende uwanjani na umetii😀
Safi sana bora ambavyo hujaenda uwanjani maana ungekutana na aibu ni bora ikukute ukiwa nyumbani.

Simba nguvu moja
 
Hahahahaaa. Naona unapotezea. Lol.

Leo ni siku ingine ya kupata maumivu.
 
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA 5IMBA HAPO 17:00.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hahahahahahahahah Eti kila la kheri timu ya Wananchi......Aisee Leo Leo Leo ni mwisho wa kelele zenu,Na kama unaweza piga magoti chini usali kabisa.
 
Mbona kwenye picha za mazoezi toka juzi haonekani? Angalau Tshishimbi kaonekana kwenye picha za jana
Usemacho ni kweli ila nijuacho haumwi na wala hadai chochote, hakuna mchezaji anayedai pale wamelipwa miezi 2 mbele na bonas za kutosha alikuwa kwao kaletwa na ndege dar sidhani Yanga wamtumie tiketi halafu aje kukaa tu acha tuone!
 
Hakika na tukishamshika basi hana pa kufurukuta hapo ndio lawama zinahamishiwa ushirikinani.

Wakati wale jamaa kifiziki hawatuwezi hata robo.
Nami naomba tukienda 90 bilabila watupe 30 tuta naziogopa ila 30 za nyongeza huwa hawatoki hawa jamaa fizik yao ndogo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…