Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Banka yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banka yupo
Haaaaaahaaaaa fala sana wewe wachezaji wengi wa Simba ni wachezea mpira so kuwaona hadi timu iwe inaposses mambo yanapokuwa tofauti hawana msaada wanahangaika akina mkude,fraga na mabeki tu!Hivi vijamaa mambo yanapokuwaga magumu huwa vinageuka vizururaji tu uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua bado nadhani kadiri muda unavyosogea tutajua kila kitu.
Hakika na tukishamshika basi hana pa kufurukuta hapo ndio lawama zinahamishiwa ushirikinani.Kuna timu ya kuogopa sio Simba kitu ambacho wengi wenu hamkijui sisi tunajua tuwashike wapi mtulie!
Umekuwa kapole leo. 😂😂Na hivyo vijamaa ndivyo vitakavyo kumaliza leo.
Simba nguvu moja
Bado umelala Mtani. Mana unaota ujue. 😃Zinarudi tena.
Nashukuru Shadeeya kwa kufuata ushauri wangu niliokupa, nilikuambia usiende uwanjani na umetii😀Umekuwa kapole leo. 😂😂
Nasema hivi usiku wa deni haukawii kucha.Bado umelala Mtani. Mana unaota ujue. 😃
Hahahahaaa. Naona unapotezea. Lol.Nashukuru Shadeeya kwa kufuata ushauri wangu niliokupa, nilikuambia usiende uwanjani na umetii😀
Safi sana bora ambavyo hujaenda uwanjani maana ungekutana na aibu ni bora ikukute ukiwa nyumbani.
Simba nguvu moja
Hahahahahahahahah Eti kila la kheri timu ya Wananchi......Aisee Leo Leo Leo ni mwisho wa kelele zenu,Na kama unaweza piga magoti chini usali kabisa.KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA 5IMBA HAPO 17:00.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Ni bora ning'atwe na Tandu kuliko kufungwa na Yanga leo.😜Hahahahaaa. Naona unapotezea. Lol.
Leo ni siku ingine ya kupata maumivu.
Mbona kwenye picha za mazoezi toka juzi haonekani? Angalau Tshishimbi kaonekana kwenye picha za janaBanka yupo
Usemacho ni kweli ila nijuacho haumwi na wala hadai chochote, hakuna mchezaji anayedai pale wamelipwa miezi 2 mbele na bonas za kutosha alikuwa kwao kaletwa na ndege dar sidhani Yanga wamtumie tiketi halafu aje kukaa tu acha tuone!Mbona kwenye picha za mazoezi toka juzi haonekani? Angalau Tshishimbi kaonekana kwenye picha za jana
Nami naomba tukienda 90 bilabila watupe 30 tuta naziogopa ila 30 za nyongeza huwa hawatoki hawa jamaa fizik yao ndogo sana!Hakika na tukishamshika basi hana pa kufurukuta hapo ndio lawama zinahamishiwa ushirikinani.
Wakati wale jamaa kifiziki hawatuwezi hata robo.