Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hongera sana mtani ndio mpira wana yanga kosa la kwanza ni kulazimisha mtu aliyetoka majeruhi na hana match fitness acheze(mimi mmoja wapo niliomba sana Papy acheze) kingine kocha kutoona tatzo upande wa kushoto jafary hakuwa vzr leo Simba tu hawakuwa makini ule upande tungekula hata goli 3 kutokea kule tu peke yake kitu kingine kutuwekea molinga pale mbele hakuwa na msaada wowote derby inataka twende wote turudi wote timu ikiwa haina mpira molinga anakuwa hana msaada hakabi yote kwa yote hongera tena mtani wanayanga tusivunjike moyo ndio mpira leo unacheka kesho unalia huu ni mwaka wao tujipange msimu ujao in Shaa Allah!
 
Utopolo FC takataka nyie hamfai ata kucheza ligi daraja la 3
Yaani mimi nashabikia uto na chelsea nina hali ngumu sana maana jana 3 nunge leo pia 3 nunge dah[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…