Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Manufacturer: Infinix

No. Sim Cards: 2

Screen: 5.5"

Camera: 13 MP

Memory: 16 GB ,2GB

Processor: 1.5GHz

Battery: 28 Hours

Connection Type: 4G

INAUZWA BEI SAWA NA BURE 160000 TU
(PHONE USED)
 
Wazee wa migogoro Utopolo de Mkunungu. Kwa hali mliyokuwa nayo Mnyama Simba anachukua ubingwa Milele Amina.

Simba nguvu moja
 
Utopolo fc baada ya kufanya uzushi dhidi ya timu yenye uwezo Simba sc kua inahujumu mmeanza kuzushiana wenyewe saizi.
Kwa nini hiyo dhambi ya uzushi msiiache, Ona sasa Mzee wa watu ( mwakalebela) anatoa na machozi.
Mlizushia katibu akaondolewa, benchi la ufundi limesambaratika. Angalieni mnakoelekea sio kuzuri.
Dirisha la usajili linaenda kufunguliwa mkiendelea kuzushiana mtaacha kujenga timu mtaendelea na kujenga uzushi, Ligi ikianza muaze utopolo tena ka lilivyo jina la timu yenu Utopolo fc
 
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga,
Luc Aymael amesema mashabiki wa Yanga ni wajinga pia amesema kuwa uongozi wa klabu ya Yanga ni Waswahili wameshindwa kumtimizia matakwa yake ya ki mkataba.
Kocha huyo amesema amechoka kukaa Tanzania hana DStv,hana Gari ,Yanga walimpangishia nyumba mbaya. Amedai bora tu wamuache aondoke zake na kwa mwendo huu Aymael amesema Yanga haiwezi kushinda chochote.

Pia ameshangazwa na mashabiki wa Yanga kutojua mambo ya mpira amedai ni kama Mambumbumbu tu yanapiga Makelele na kuzomea zomea kama Nyani na yanabweka bweka kama Mbwa.
Shadeeya
 
Waambie hao. [emoji41][emoji41]
Napita kusalimia tu
nimemsikia bwana mmoja akilalamika..eti nyie ni manyani? hamjui kitu mnabekwa kama mbwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbumbumbu kwani sisi ni wanasimba!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…