Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mmmh. πŸ€”πŸ€”
 
Utopolo mwaka wao aisee kila siku vioja
 
Kasema pia washabiki wa Yanga hawajasoma, hawajui mpira. Wanachojua ni kuruka ruka tu kama manyani.

cc Shadeeya
Hahahaaaa. Alikuwa anatafuta sababu huyo Mtani.

Akwende zake huko kwa hiyo usomi wetu tumuonyeshe yeye wa kazi gani. Teh teh.

Ye kaja kufanya kazi hayo ya kuruka ruka atuachie wenyewe. Teh.

#Irushepo basi hiyo audio tujisikie. πŸ˜…
 
Audio nimeipata kupitia WhatsApp, nashindwa jinsi ya kui attach hapa.

Siioni hata kwenye downloads.
 
Audio nimeipata kupitia WhatsApp, nashindwa jinsi ya kui attach hapa.

Siioni hata kwenye downloads.
Duuh!! Wacha nikaperuzi peruzi mitandaoni natumai nitaipata.

Ila Mtani kama katukashifu namna hiyo hapaswi kuendelea kuwepo aiseee sababu yeye anamapungufu mbona hatujawahi yapigia kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…