Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mdau hapo juu ameweka, umeisikia lakini?

Sema ndiyo iko kwa kiingereza, nadhani kocha wenu alijua hamtaelewa kwa sababu eti hamjasoma.

Akasahau kwamba tutawatafsiria.
Hahahahaaaa. Lol.

Nimeisikia aiseee. Ila nadhani uongozi wana cha kujifunza pia.

Hahahahaaaa. Dikishenari si zipppo tungedadavua neno kwa neno mpaka tukaelewa.
 
Hahahahaaaa. Lol.

Nimeisikia aiseee. Ila nadhani uongozi wana cha kujifunza pia.

Hahahahaaaa. Dikishenari si zipppo tungedadavua neno kwa neno mpaka tukaelewa.

Sawa mmeelewa, kwenye hayo maneno mnachagua tuwape jina gani?
  1. Manyani
  2. Mbwa
  3. Mambumbumbu (ila hili ni gumu kulihamisha)
  4. Mazero
NB: Utopolo liko pale pale.
 
LUC EYMAEL ATOA NENO

"Nimeona tu barua imeandikwa kwa kiswahili, tupo njiani nikifika Dar ntapata ufafanuzi na ikibidi kutolea maelezo. . Nimefanya kazi barani Afrika kwa miaka mingi sana, bara la Afrika imekuwa nyumbani kwangu siwezi nikawa mbaguzi sina rekodi hiyo, Hiyo clip ya sauti ni yangu na nilirekodiwa baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar nikiwa katika hasira na huyo mwandishi alikuwa ananilazimisha kufanya nami mahojiano. . Nilitegemea baada ya mchezo wa Lipuli kutokea hili ndio maana baada ya mchezo niliomba Samahani kwa kumaanisha kitakachojiri. .Mimi sio mbaguzi ndio maana nilipiga goti kuashiria kupinga vitendo vya ubaguzi. . "

Luc Eymael.



🤔🤔 MBONA KAMA HAIINGII AKILINI HIVYO ALIVYOYASEMA HAYO HATA KAMA HAIKUWA HIYO JANA ALIKUWA ANATAKA KIWE NINI?

- HIVI HASIRA KWA MWANDISHI NDIO ATUDHARAU NA KUTUITA MAJINA YA AJABU KIASI KILE KWELI?

-NIONAVYO VIONGOZI WAWE NA MSIMAMO WASISIKILIZE HIZI POROJO ZAKE.
 
Iwe dhidi ya mtibwa au dhidi ya Manchester United aliongea ujinga usiovumilika!
 
Iwe dhidi ya mtibwa au dhidi ya Manchester United aliongea ujinga usiovumilika!
Hakika na inaelekea alijua kitanuka na ndio sababu jana akawa anajikosha kushangilia zaidi ya kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…