Huyu kocha alifanya makusudi ili yanga wamfukuze kwa vile alikuwa na mkataba, alambe mchongo Libya.[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]View attachment 1518580
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Aaaah jamani mpaka nimekuonea huruma dah.....Mikia bana. Sasa humo kwa Mashabiki wa timu ya Wananchi si kuna hadi watu wenu wa karibu? [emoji15][emoji15]
Acheni kuisapoti ngozi nyeupe nyieee. Hivyo mnafurahia mzungu akituita masokwe. lol.
Tuna mharibia sasaHuyu kocha alifanya makusudi ili yanga wamfukuze kwa vile alikuwa na mkataba, alambe mchongo Libya.View attachment 1519506
Kufungwa afungwe lipuli fc na kushuka daraja, sare aipate azam na kuwa nafasi ya tatu, lakini povu kama lote kwa simba sc na mashabiki wao. Mpira una mambo mengi
Tuna mkataba na azam tv, tunatumia za mkataba, yeye analiwa si chini ya milioni 10, kwa nini asinunue? 79K ndo ya kukupigisha kelele? Azam zinaoneshwa mechi za laliga zote bila kuacha hata moja, na hao tuna mkataba bao, tunataka soka lao siyo la mahali pengineKocha analalamika hata dstv ya elf 79 mmeshindwa kumunulia
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tuna mkataba na azam tv, tunatumia za mkataba, yeye analiwa si chini ya milioni 10, kwa nini asinunue? 79K ndo ya kukupigisha kelele? Azam zinaoneshwa mechi za laliga zote bila kuacha hata moja, na hao tuna mkataba bao, tunataka soka lao siyo la mahali pengine
Fanya sana ibadaNashukuru Mungu haya majina yameniepuka
Nasimama nyuma yako kukaziaView attachment 1518550LUC EYMAEL ATOA NENO
"Nimeona tu barua imeandikwa kwa kiswahili, tupo njiani nikifika Dar ntapata ufafanuzi na ikibidi kutolea maelezo. . Nimefanya kazi barani Afrika kwa miaka mingi sana, bara la Afrika imekuwa nyumbani kwangu siwezi nikawa mbaguzi sina rekodi hiyo, Hiyo clip ya sauti ni yangu na nilirekodiwa baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar nikiwa katika hasira na huyo mwandishi alikuwa ananilazimisha kufanya nami mahojiano. . Nilitegemea baada ya mchezo wa Lipuli kutokea hili ndio maana baada ya mchezo niliomba Samahani kwa kumaanisha kitakachojiri. .Mimi sio mbaguzi ndio maana nilipiga goti kuashiria kupinga vitendo vya ubaguzi. . "
Luc Eymael.
🤔🤔 MBONA KAMA HAIINGII AKILINI HIVYO ALIVYOYASEMA HAYO HATA KAMA HAIKUWA HIYO JANA ALIKUWA ANATAKA KIWE NINI?
- HIVI HASIRA KWA MWANDISHI NDIO ATUDHARAU NA KUTUITA MAJINA YA AJABU KIASI KILE KWELI?
-NIONAVYO VIONGOZI WAWE NA MSIMAMO WASISIKILIZE HIZI POROJO ZAKE.
Tena hawajielewi hata kidogo sababu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia kauli za kipu*ba*u kama zile.Hao mbumbumbu hawajielewi
Kwa akili zao wanadhani kawatukana wanayanga pekee. Wakati kuna maneno anasema watanzania hawajasoma. Hapo mikia wanajifanya wao sio watanzaniaTena hawajielewi hata kidogo sababu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia kauli za kipu*ba*u kama zile.
#Wajitathimini.
Ndio UMBUMBUMBU wenyewe huo Mkuu.Kwa akili zao wanadhani kawatukana wanayanga pekee. Wakati kuna maneno anasema watanzania hawajasoma. Hapo mikia wanajifanya wao sio watanzania
Huruma hiyo veeepeee?Aaaah jamani mpaka nimekuonea huruma dah.....
Siwezi kumsapoti mzungu, cha kusikitisha kuna washabiki wa utopolo wanamtetea kocha wao, ndio kinachonipa jeuri kuamini aliyoyasema dada Lucy.
Umbwa fc[emoji23]
Yaani Yanga kila siku inatoa zawadi kwa wapenzi na mashabiki halafu ishindwe kulipa 100k ya king'amuzi? Ujue kuna shida hapoSasa kama GSM walimwambia kocha watamnunulia kila kitu.kwanini kocha asisubiri dstv ya bure?.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yaani Yanga kila siku inatoa zawadi kwa wapenzi na mashabiki halafu ishindwe kulipa 100k ya king'amuzi? Ujue kuna shida hapo