Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]View attachment 1518580

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Huyu kocha alifanya makusudi ili yanga wamfukuze kwa vile alikuwa na mkataba, alambe mchongo Libya.
Screenshot_2020-07-28-13-20-25.jpg
 
Mikia bana. Sasa humo kwa Mashabiki wa timu ya Wananchi si kuna hadi watu wenu wa karibu? [emoji15][emoji15]

Acheni kuisapoti ngozi nyeupe nyieee. Hivyo mnafurahia mzungu akituita masokwe. lol.
Aaaah jamani mpaka nimekuonea huruma dah.....

Siwezi kumsapoti mzungu, cha kusikitisha kuna washabiki wa utopolo wanamtetea kocha wao, ndio kinachonipa jeuri kuamini aliyoyasema dada Lucy.

Umbwa fc[emoji23]
 
Kufungwa afungwe lipuli fc na kushuka daraja, sare aipate azam na kuwa nafasi ya tatu, lakini povu kama lote kwa simba sc na mashabiki wao. Mpira una mambo mengi
 
Kocha analalamika hata dstv ya elf 79 mmeshindwa kumunulia

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tuna mkataba na azam tv, tunatumia za mkataba, yeye analiwa si chini ya milioni 10, kwa nini asinunue? 79K ndo ya kukupigisha kelele? Azam zinaoneshwa mechi za laliga zote bila kuacha hata moja, na hao tuna mkataba bao, tunataka soka lao siyo la mahali pengine
 
Sasa kama GSM walimwambia kocha watamnunulia kila kitu.kwanini kocha asisubiri dstv ya bure?.
Tuna mkataba na azam tv, tunatumia za mkataba, yeye analiwa si chini ya milioni 10, kwa nini asinunue? 79K ndo ya kukupigisha kelele? Azam zinaoneshwa mechi za laliga zote bila kuacha hata moja, na hao tuna mkataba bao, tunataka soka lao siyo la mahali pengine

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1518550LUC EYMAEL ATOA NENO

"Nimeona tu barua imeandikwa kwa kiswahili, tupo njiani nikifika Dar ntapata ufafanuzi na ikibidi kutolea maelezo. . Nimefanya kazi barani Afrika kwa miaka mingi sana, bara la Afrika imekuwa nyumbani kwangu siwezi nikawa mbaguzi sina rekodi hiyo, Hiyo clip ya sauti ni yangu na nilirekodiwa baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar nikiwa katika hasira na huyo mwandishi alikuwa ananilazimisha kufanya nami mahojiano. . Nilitegemea baada ya mchezo wa Lipuli kutokea hili ndio maana baada ya mchezo niliomba Samahani kwa kumaanisha kitakachojiri. .Mimi sio mbaguzi ndio maana nilipiga goti kuashiria kupinga vitendo vya ubaguzi. . "

Luc Eymael.

🤔🤔 MBONA KAMA HAIINGII AKILINI HIVYO ALIVYOYASEMA HAYO HATA KAMA HAIKUWA HIYO JANA ALIKUWA ANATAKA KIWE NINI?

- HIVI HASIRA KWA MWANDISHI NDIO ATUDHARAU NA KUTUITA MAJINA YA AJABU KIASI KILE KWELI?

-NIONAVYO VIONGOZI WAWE NA MSIMAMO WASISIKILIZE HIZI POROJO ZAKE.
Nasimama nyuma yako kukazia
 
Aaaah jamani mpaka nimekuonea huruma dah.....

Siwezi kumsapoti mzungu, cha kusikitisha kuna washabiki wa utopolo wanamtetea kocha wao, ndio kinachonipa jeuri kuamini aliyoyasema dada Lucy.

Umbwa fc[emoji23]
Huruma hiyo veeepeee?

Sema nyie Mbumbumbu ndio mnaomsapoti usitake kujificha kwenye kivuli cha Wananchi.
 
Back
Top Bottom