"Nimeona tu barua imeandikwa kwa kiswahili, tupo njiani nikifika Dar ntapata ufafanuzi na ikibidi kutolea maelezo. . Nimefanya kazi barani Afrika kwa miaka mingi sana, bara la Afrika imekuwa nyumbani kwangu siwezi nikawa mbaguzi sina rekodi hiyo, Hiyo clip ya sauti ni yangu na nilirekodiwa baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar nikiwa katika hasira na huyo mwandishi alikuwa ananilazimisha kufanya nami mahojiano. . Nilitegemea baada ya mchezo wa Lipuli kutokea hili ndio maana baada ya mchezo niliomba Samahani kwa kumaanisha kitakachojiri. .Mimi sio mbaguzi ndio maana nilipiga goti kuashiria kupinga vitendo vya ubaguzi. . "
Luc Eymael.
🤔🤔 MBONA KAMA HAIINGII AKILINI HIVYO ALIVYOYASEMA HAYO HATA KAMA HAIKUWA HIYO JANA ALIKUWA ANATAKA KIWE NINI?
- HIVI HASIRA KWA MWANDISHI NDIO ATUDHARAU NA KUTUITA MAJINA YA AJABU KIASI KILE KWELI?
-NIONAVYO VIONGOZI WAWE NA MSIMAMO WASISIKILIZE HIZI POROJO ZAKE.