Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Duu hadi uchebe! Yule ndio kabsaaa!
 
Florent Ibenge Wa AS Vita ni mwalimu mzuri sana shida yake hakawii kumleta zahera kama msaidizi wake mana ni maswahiba sana
 
Dah! Mambo gani haya!
Your browser is not able to display this video.
 
Msimu ujao tunawapiga tena 4G, raundi ya pili tunawapiga zile 5 za kipindi kile.
Bila shaka tumeelewana enyi MOSHI WA BANGI FC.
Shadeeya
 
BREAKING NEWS:

Uongozi wa Club ya Yanga unapenda kuwataharifu mashabiki na wapenzi wa Club hiyo kwamba mchezaji fundi wa Club hiyo Yikpe Gnamien ataendelea kuwepo klabuni hapo hadi mwisho wa dahari.
Wape Salaaaam
Mnavyojua kutufuatilia tu Mtani. Kazi mnayo.

Hela ya kuvunja mkataba inatoka wapi eti? Wacha aendelee kuwepo tu. Atasugua benchi mpaka muda wake uishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…