Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mi saa ingine nashangaa hivi hawa wanaopiga kelele walitaka kikosi chetu chenye magarasa kibao tuendelee nacho ama?
Ukiona unafanya jambo lako zuri alafu kelele nyingi kukuponda ujue wanakuogopa. Simba wanaogopa sana YANGA tukifanya usajili sababu wanajua lazima tuwachachafye msimu ujao
 
Haya wale makocha na wachambuzi wa Jf mje sasa. Tah teh.
 
Ukiona unafanya jambo lako zuri alafu kelele nyingi kukuponda ujue wanakuogopa. Simba wanaogopa sana YANGA tukifanya usajili sababu wanajua lazima tuwachachafye msimu ujao
Na kweli Mkuu ni woga tu unawasumbua sababu kikosi chetu cha season ya 2019/2020 hakikuwa na afya kabisa yaani licha ya kusajili watu nyomi.

Na usajili ndo kitu cha muhimu kwa sasa ili kupata kikosi bora na hasa ukiangalia ni one month tu ya usajili.

"DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Haya wale makocha mje sasa. Tah teh.
Huu utopolo sijawahi kuuona duniani yaani timu kila msimu inasajili wachezaji 15[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kocha ndio anafuta, kisha anawaita mbwa na sokwe wananuna[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pambana na hali yako weweeee 😎

Wachana na mambo yasiyokuhusu. Si mna uzi wenu nenda kaandike hayo mazuri huko kisha nitag nije kuyaona.

Wacha kubwabwaja kwani haya yanayoendelea Yanga kama hayafai sisi ndo wa kubwabwaja na sio nyie.
 

Napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi, wachezaji, wapenzi na wanachama wa Yanga SC kwa ushirikiano wote mlionipa kwa kipindi chote nilichoitumikia klabu yangu ya Yanga, nasikitika kuwajulisha kuwa sitokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga SC msimu ujao, kilikuwa kipindi kizuri kwangu kuwa hapa na daima ntabaki na kumbukumbu nzuri . Nawatakia mafanikio mema.

Patrick Sibomana.
 
Imebidi Mtani sababu kikosi kilichokuwepo ulikuwa unakiona kilivyo tia maji tia maji.

Japo naombea tu yasije kuwa yale ya mwaka jana yaani tulisajili wachezaji kibao mwisho wa siku yote yakawa magarasa.
Ndio hofu yangu hiyo mtani ,ingawa kuna majina mmeenda vzr
 
Karibu Kigali, Karibu Gahinga ,Karibu Gikondo , urakoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…