Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Akili ndio zimewarudia sasa eeeh! Maana mlikuwa mnabwekabweka kuwa mnaonewa na marefa, TFF[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe jibu mnalo kuwa kikosi chenu kilikuwa hakina afya[emoji3]
Sasa mlimfukuza kocha kwa kosa gani? Maana sijaona alichokosea kuwaita Mbwa mnaobwekabweka bila sababu.... Kikosi kibovu mnalalamikia marefa,

Haya hiki mnachosajili kwa kuzoazoa ndio mmeona kina afya[emoji23][emoji23] ZOAZOA FC
KUSANYAKUSANYA FC...

najua mbwa aachi kubweka na msimu huu mtabweka tena tu, maana hakuna mnachofanya, mnazoazoa wachezaji bila kocha,


Umbwa.
 
MAAMUZI MAGUMU NDIYO YALIKUWA YANAHITAJIKA JAPO TUMEUMIA KWA KUKOSA VIPENZI VYETU.

Acheni Yanga ifanye maamuzi yake Yanga siyo ya kwanza kufanya hili jambo la kuondoa wachezaji wenye matatizo mbali mbali na ambao mikataba imeisha kutoendelea nao, hata watani wamewahi kufanya hivyo.

Mwaka 2017 tunawakumbusha tu Simba iliachana na wachezaji hawa

1. Denis Richard
2. Mnyate
3. Blagnon
4. Kazimoto
5. Agyey
6. Lufunga
7. Hamad Juma
8. Manyika Jr
9. Bukungu
10. Mwanjali
11. Haji Ugando
12. Costa

Siyo vitu vya ajabu kwenye soka.

@Yangafulldozz.
 
Na ukitaka ujue umbumbumbu wenu,kikosi chenu hamtaboresha bali mtakivuruga!!!
Ili tuu kujionesha mnasajili
 

Sawa[emoji16]
 
Ukiwa shabiki wa hii timu tu jua umepiga hatua moja kuelekea katika maradhi ya moyo.
 
Sawa[emoji16]
Katika Orodha hiyo ni wachezaji wanne tu ndiyo walikuwa kikosi cha kwanza na wote walikuwa wamemaliza mikataba yao.

Wengine walikuwa hawapati nafasi ya kucheza hasa waliokuwa wamepandishwa kutoka under 20 kina Vicent Costa, Hamad Juma, Manyika na wengineo.

Hali ni tofauti kwa Yanga msimu uliopita mlisajili wachezaji 12 na zaid ya nusu yao mmewaacha.

Wachezaji 8 kati ya wale mlioachana nao walikuwa wachezaji wa kikosi cha kwanza.

Mna matatizo gani nyie???????
 
Mbona umepoa hivyo au ndio usajili wa timu ya Wananchi unakufanya uzizime? 😎😎

Tanzania kwa sasa hatuna mpinzani tunataka kutuma barua ya kwenda kushiriki ligi ya Uhispain ndo maan hatuangaiki na nyie
 
Yani nyie mikia kuchukua tu makombe yote matatu basi ndio mnaona kama mmechukua world cup, yani mshakua wataalamu wa mpira tayari, wachambuzi nyie, makocha nyie, wakosoaji nyie yaani kila kitu nyie.
Acheni ushamba tuacheni na timu yetu.
 
Yani nyie mikia kuchukua tu makombe yote matatu basi ndio mnaona kama mmechukua world cup, yani mshakua wataalamu wa mpira tayari, wachambuzi nyie, makocha nyie, wakosoaji nyie yaani kila kitu nyie.
Acheni ushamba tuacheni na timu yetu.

Ila bila kusahau Nyie ni Manyani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…