Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hawa ni Zamalek kweli au timu nyingine imekuja, mlioko uwanjani tuambieni.
 
Zamalek wamechanganyikiwa sasa.........Safi sana Juma Seif 'Kijiko'

Kiungo cha Yanga kimetulia sana leo....
 
naona mmetangulizwa na beiskeli ya miti ingawa ni dk 40...
 
Naambiwa hata Clouds TV wpo Live pia................Safi sana

Kiiza..................Kona
 
naona mmetangulizwa na beiskeli ya miti ingawa ni dk 40...
Mnaboa sasa bana.................Aaaaaaaaaaaargh!!!!

Dakika mbili za nyongeza kuelekea Half Time....

Tunashambuliwa...........Offside
 
Mkuu sio fitina nataka nipate uhakika maana wanashambuliwa sana utafikiri Yanga anacheza na Mbanga FC.
Ni game tu mkuu..........Yanga wamemiliki kiungo.....Kijiko na Niyonzima wametawala kiungo Half hii ya kwanza....

Chuji anacheza vizuri sana leo.......Kiiiiiiza.................Zamalek wanaokoa
 
Mnaboa sasa bana.................Aaaaaaaaaaaargh!!!!

Dakika mbili za nyongeza kuelekea Half Time....

Tunashambuliwa...........Offside

msipojipanga kipndi cha pili wanaweza wakarudisha goli
 
yanga wacheza...ila wamepoteza nafasi nyingi
Kweli kabisa mkuu.....Half Time tungeweza kuongoza hata magoli 5-0

Hawa Mwape na Asamoah ni magarasa tu.........Ni bora Papic akawaingiza Pius Kisambale na Shamte Ally/Jerryson Tegete.........Hwa ni wazuri kuliko hao maPro
 
Ni game tu mkuu..........Yanga wamemiliki kiungo.....Kijiko na Niyonzima wametawala kiungo Half hii ya kwanza....

Chuji anacheza vizuri sana leo.......Kiiiiiiza.................Zamalek wanaokoa
Hongereni mkuu, kutikisa nyavu za Zamalek sio kazi ndogo.
 
Tuombe tu kiungo chetu kiendelee kuelewana kama ilivyokuwa 1st Half......

Pia Nadir Haroub waendeleaa kuelewana na Chuji pale kati na waendane na kasi ya forward ya Zamalek.....

Beki za pembeni Mwayika na Nsajigwa wasijisahau.....

Vilevile Papic awatoe Asamoah na Mwape awaingize Kisambale na Tegete

2nd Half imeanza....

Yanga 1-0 Zamalek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…