Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Haruna Niyonzima ni habari nyingine kabisa........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshaanza fitna.................Ni Zamalek hasa ya Hassan Shehata na Amri ZakHawa ni Zamalek kweli au timu nyingine imekuja, mlioko uwanjani tuambieni.
Mkuu sio fitina nataka nipate uhakika maana wanashambuliwa sana utafikiri Yanga anacheza na Mbanga FC.Mmeshaanza fitna.................Ni Zamalek hasa ya Hassan Shehata na Amri Zak
Mnaboa sasa bana.................Aaaaaaaaaaaargh!!!!naona mmetangulizwa na beiskeli ya miti ingawa ni dk 40...
Ni game tu mkuu..........Yanga wamemiliki kiungo.....Kijiko na Niyonzima wametawala kiungo Half hii ya kwanza....Mkuu sio fitina nataka nipate uhakika maana wanashambuliwa sana utafikiri Yanga anacheza na Mbanga FC.
Mnaboa sasa bana.................Aaaaaaaaaaaargh!!!!
Dakika mbili za nyongeza kuelekea Half Time....
Tunashambuliwa...........Offside
Kweli kabisa mkuu.....Half Time tungeweza kuongoza hata magoli 5-0yanga wacheza...ila wamepoteza nafasi nyingi
Hongereni mkuu, kutikisa nyavu za Zamalek sio kazi ndogo.Ni game tu mkuu..........Yanga wamemiliki kiungo.....Kijiko na Niyonzima wametawala kiungo Half hii ya kwanza....
Chuji anacheza vizuri sana leo.......Kiiiiiiza.................Zamalek wanaokoa