Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Kwani ukiacha usimba na uyanga mimi na wewe tuna tofauti gani?, mtu akisimama mbele yako utaweza kujua huyu ni simba au ni yanga bila yeye mwenyewe kukuambia?
Akuhurumie nani, kitu ambacho hatutaki ni kelele zenu , timu mbovu hampati matokeo mnaanza lia liaHivi hii huruma mmetowa wapi eti?
Jidanganyeni tu.Tanzania kwa sasa hatuna mpinzani tunataka kutuma barua ya kwenda kushiriki ligi ya Uhispain ndo maan hatuangaiki na nyie
πππ wamekuwa kama zile funguo za wezi. πππYani nyie mikia kuchukua tu makombe yote matatu basi ndio mnaona kama mmechukua world cup, yani mshakua wataalamu wa mpira tayari, wachambuzi nyie, makocha nyie, wakosoaji nyie yaani kila kitu nyie.
Acheni ushamba tuacheni na timu yetu.
Yuko mjini, kafichwa ,Kazi ipoView attachment 1527503[emoji23][emoji23][emoji23] wamekuwa kama zile funguo za wezi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtani uko vizuri sana hizi pande za conf.Yuko mjini, kafichwa ,Kazi ipoView attachment 1527503View attachment 1527504
Mnabebwa lazima tulieAkuhurumie nani, kitu ambacho hatutaki ni kelele zenu , timu mbovu hampati matokeo mnaanza lia lia
Duu hii ni Mukoko Tonombe siyo!? Aisee I can't wait to see him in Wananchi's shirt!Yuko mjini, kafichwa ,Kazi ipoView attachment 1527503View attachment 1527504
Hahahaha mlete hela sasa la sivyo tunabadili gia hewani, mwingine anaingia leoDuu hii ni Mukoko Tonombe siyo!? Aisee I can't wait to see him in Wananchi's shirt!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, naujua mpira kuliko unavyodhani kuanzia kuucheza,mpk sasa fitinaMtani uko vizuri sana hizi pande za conf.
Safi sana Mtani.Hahahaha, naujua mpira kuliko unavyodhani kuanzia kuucheza,mpk sasa fitina
Mtani nataka kuwa wakala, Mungu akipenda inshalaah
Inahitaji viongozi wachangamke sababu huwa kuna vipanga hawakawii kutupora tukabaki na masikitiko.Duu hii ni Mukoko Tonombe siyo!? Aisee I can't wait to see him in Wananchi's shirt!
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ hivi alikujibu hapa. πππKwani ukiacha usimba na uyanga mimi na wewe tuna tofauti gani?, mtu akisimama mbele yako utaweza kujua huyu ni simba au ni yanga bila yeye mwenyewe kukuambia?
Ishia zako huko. πKuna utofauti kwa sababu me ni Simba,we ni Nyani[emoji23]
Kwani huwa hambebwi?Akuhurumie nani, kitu ambacho hatutaki ni kelele zenu , timu mbovu hampati matokeo mnaanza lia lia
Ishia zako huko. π
Hivi Mtani na wewe unaamini sisi ni manyani? πSawa[emoji16]