Sasa kiliwashinda nini kumtambulisha jana?Simba hatukurupuki. Ile timu inaendeshwa KISOMI. ndo maana sasa hivi hauwezi kuiona simba ikiingia kwenye migogoro na wachezaji
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
USITUFOKEEE. 😂😂😂Hapo MORRISON AKIWA Na Kocha WAKE mtarajiwaView attachment 1530533
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ni enzi hizo akiwa kijana na si sasa.Amakweli ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni. Kama sio nyoe vile mliomficha El Mereikh wasiondoke nae
Ila sasa Shadeeya, mpeni japo ukocha wa timu yenu ya vijana(kama mnayo lakini maana kwa usanii tu hamjambo). Itakua sio vizuri kumtupa kabisa ujue🤣
Wewe unaijua historia ya Morrison huko alipotoka?, ingekua ni mara ya kwanza scenario kama hii kutokea tungesema labda Yanga ni waongo, lakini hata huko alipotoka kafanya uhuni kama huu anaoufanya sasa hivi, sport extra waliwahi sana kuongelea aliyoyafanya Morrison huko team za nyuma alizotoka.Sasa ukweli upo wapi?.
Inakuwaje mchezaji unayemlipa mshahara na ukamsainisha miaka 2.yeye aje atangaze amesaini miezi 6.
Hamuoni kamaa hapo kuna UDANGANYIFU umetokea?..
Na ndo maana nasema GSM NI MATAPELI. mpaka pale watakapotoa ukweli kuwa ni nani muongo kati yao na Morrison
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Farijianeni tu.Baelezeee, baambie baelewee
Dooh!! Kazi tunayo Mtani.Huyo ni Free player agent yy mwenyewe na meneja yeye
Jeshi la MTU mmoja hilo, Ghanian wapambanaji sana
Ila tulionya humu khs huyu BM mkatupuuza
Baelezeee hiyo Kwiiio. 💃💃💃Baelezeee, baambie baelewee
Hili nalo ni tatizo Mtani.Hahahaha km alivyofanya RDC na SA
Tatizo hana wakala wala meneja
Hahahaha, mtani Simba wamuulize vzr Hans km kweli kamsainisha BM au kampa hela tu na malazi ?USITUFOKEEE. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaliyomkuta Mjomba Ngasa ndio yanamsubiri Salum Abubakar. Nimeamini kweli kuna wakati binadamu anachoshwa na hali yake nzuri ya maisha na anajikuta anatafuta changamoto ambazo wakti mwingine zinamuweka kwenye wakati mgumu hata kiuchumi.Ni enzi hizo akiwa kijana na si sasa.
Asubiri huruma ya uongozi kama wataona anafaa. Teh teh.
HahahahaHili nalo ni tatizo Mtani.
Hakika Mtani.Nadhani uongo wa GSM na Yanga utaumbuliwa na TFF
Ila Simba bana hivyo hapo Mtani hiyo picha umeitafsiri kwamba ameshasaini na hapo anapewa maelekezo ndani ya SSC kule Bunju. Lol.Hapo MORRISON AKIWA Na Kocha WAKE mtarajiwaView attachment 1530533
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wewe unaijua historia ya Morrison huko alipotoka?, ingekua ni mara ya kwanza scenario kama hii kutokea tungesema labda Yanga ni waongo, lakini hata huko alipotoka kafanya uhuni kama huu anaoufanya sasa hivi, sport extra waliwahi sana kuongelea aliyoyafanya Morrison huko team za nyuma alizotoka.
Sipo kumtetea yoyote ila hata kama Yanga wanasema uongo ila kwa back ground ya vitu alivyovifanya Morrison huko alipotoka tayari lazima umtilie mashaka.
Lazima ifike hatua kwenye issue serious kama hizi, ushabiki uwekwe pembeni, watu waongee mambo kwa uhalisia.
Anaweza kuja Simba au Azam lakini tatizo lake he is not a honest man, he put money first than trust, timu yoyote inayo mu offer pesa kubwa tofauti na aliyokua nayo na mkataba yupo radhi kwenda hata kwa ku force.. Na kutumia uongo, Kitu ambacho sio sahihi.
Sasa kiliwashinda nini kumtambulisha jana?
Pia inabidi wajiulize katika ile list ya wachezaji tunaowaacha kulikuwa na ugumu gani Morison kuwekwa au wale ambao mkataba wao umeisha sababu ukiangalia ametufanyia vituko vya hovyo ambavyo kama mkataba usingekuwepo basi tungemuachilia mbali.Wewe unaijua historia ya Morrison huko alipotoka?, ingekua ni mara ya kwanza scenario kama hii kutokea tungesema labda Yanga ni waongo, lakini hata huko alipotoka kafanya uhuni kama huu anaoufanya sasa hivi, sport extra waliwahi sana kuongelea aliyoyafanya Morrison huko team za nyuma alizotoka.
Sipo kumtetea yoyote ila hata kama Yanga wanasema uongo ila kwa back ground ya vitu alivyovifanya Morrison huko alipotoka tayari lazima umtilie mashaka.
Lazima ifike hatua kwenye issue serious kama hizi, ushabiki uwekwe pembeni, watu waongee mambo kwa uhalisia.
Anaweza kuja Simba au Azam lakini tatizo lake he is not a honest man, he put money first than trust, timu yoyote inayo mu offer pesa kubwa tofauti na aliyokua nayo na mkataba yupo radhi kwenda hata kwa ku force.. Na kutumia uongo, Kitu ambacho sio sahihi.
Nadhani Morisson amekuwa Darasa tosha Mtani.Hahahaha, mtani Simba wamuulize vzr Hans km kweli kamsainisha BM au kampa hela tu na malazi ?
Na Hans asiforce Tff , kuukataa mkataba wa makubaliano ya BM na Yanga wa miaka Miwili
Deal imechezwa gizani ,inamalizikia hadharani
Tatizo wa bongo Mnapenda kona kona ,sasa Ghanian Boy anawachezesha shere ,humu miljpia gharama zote , Yanga mna muhudumia ,Simba mnamhudumia
Badilikeni wa bongo
Wacha kijana aje kwa Wananchi hizi porojo hamjaanza kuziongea leo na cha ajabu wachezaji wanasinya tu mbali na yote hayo.Yaliyomkuta Mjomba Ngasa ndio yanamsubiri Salum Abubakar. Nimeamini kweli kuna wakati binadamu anachoshwa na hali yake nzuri ya maisha na anajikuta anatafuta changamoto ambazo wakti mwingine zinamuweka kwenye wakati mgumu hata kiuchumi.
Sure Boy anatoka alipokua analipwa mshahara mzuri bila kuzunguushwa anaenda kwenye timu atakapokua anakopwa mshahara wake hata miezi mitatu🤣🤣🤣🤣
Tunamtakia kila la heri, yetu machoWacha kijana aje kwa Wananchi hizi porojo hamjaanza kuziongea leo na cha ajabu wachezaji wanasinya tu mbali na yote hayo.