Wewe unaijua historia ya Morrison huko alipotoka?, ingekua ni mara ya kwanza scenario kama hii kutokea tungesema labda Yanga ni waongo, lakini hata huko alipotoka kafanya uhuni kama huu anaoufanya sasa hivi, sport extra waliwahi sana kuongelea aliyoyafanya Morrison huko team za nyuma alizotoka.
Sipo kumtetea yoyote ila hata kama Yanga wanasema uongo ila kwa back ground ya vitu alivyovifanya Morrison huko alipotoka tayari lazima umtilie mashaka.
Lazima ifike hatua kwenye issue serious kama hizi, ushabiki uwekwe pembeni, watu waongee mambo kwa uhalisia.
Anaweza kuja Simba au Azam lakini tatizo lake he is not a honest man, he put money first than trust, timu yoyote inayo mu offer pesa kubwa tofauti na aliyokua nayo na mkataba yupo radhi kwenda hata kwa ku force.. Na kutumia uongo, Kitu ambacho sio sahihi.