Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kesha saa nane kuna kwenzi jingine..Mara paap Fei Toto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tupumzisheni mana mwisho wa siku mnataka Yanga iwe kama timu iliyopanda Daraja.

#Feisal hana akili za Kimorison.
 
Morrisio sio RAIA wa TZ hivyo si mwananchi, yeye alikuja kutafuta pesa sio blah blah za gongowazi.suala la upenzi wa timu bila pesa mpelekeeni mrisho Γ±gasa
Nilimsikiliza mtu alie muunganishia Ngassa dili la kipindi kile kwenda Sudani, Yanga wakamficha Ngasa wakamlisha sumu hata walipo kuja mwachia jamaa akajitahidi kumweleza Ngassa ukubwa wa pesa ambayo angepata 1.6bil kwa miaka 4, Ngasa akatolea nje kwasasabu tu jamaa alikua anapewa na wasudani mil 18 deal ikiwa tayari, akamwambia jamaa atafute pesa kwa nguvu zake asimtegemee yeye

Hadi kuwekeza kwenye dhamana za serikal alipewa hesabu hyo, angechukua dolla lak 2 akatia , leo hii angekua na mil 11 kwa mwez... sijui jangwan walimloga, kakosa dili ya maisha
 
Hili limeisha kwako tu mtani ila trust me huyu jamaaa mpaka sasa anasumbuwa vichwa vya GSM, uongozi wa yanga mpaka mashabiki

Itachukua mda kidogo kuisahau
Ni kweli si uongo lakini kama mie nataka niwe busy na mengine mana kama jana moyo wangu ulijua kufyatuka bana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aiseeee. Viongozi wajiandae kutufanya tuwaamini kwani nje ya hapo tutakuja kuwajalia kule jangwani.
 
Hahahaaaa. Haina shida Mtani.

Lakini lait mngejua mlivyomdharau huyu jamaa halafu eti leo hii mnampamba ama kweli binadamu tumeumbwa kusahau.
Huku atatulia tu kama walivyotulia watukutu wenzake kina mkude.

Mi nachoona wameangalia uwezo wake uwanjani mtani, haya ya nje yanarekebishika tu mtani.

Sema msitupie zongo tu kama mlivyofanya kwa gadiel, ajibu na niyonzima
 
Muacheni Ngasa wa watu hiyo ndo aina aliyoichagua kuchanga karata zake jamani. Lol
 
Dogo ilibidi atusue mapema kuliko hata mbwana samatta; sema siasa za mpira wa yanga wa kuzuia wachezaji kutoka ndizo zilizomfikasha apo na Mbaya zaidi kwa sasa timu haithamini wachezaji waandamizi
 
Huku atatulia tu kama walivyotulia watukutu wenzake kina mkude.

Mi nachoona wameangalia uwezo wake uwanjani mtani, haya ya nje yanarekebishika tu mtani.

Sema msitupie zongo tu kama mlivyofanya kwa gadiel, ajibu na niyonzima
Hajatujua vizuri yule. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naye ajiandae kisaikolojia kama wenzie.

Na mtamjua vizuri siku mumuanzishe halafu mumfanyie Sub huku akiwa anataka kuendelea kucheza hapo ndo mtaziona akili zake.
 
Dogo ilibidi atusue mapema kuliko hata mbwana samatta; sema siasa za mpira wa yanga wa kuzuia wachezaji kutoka ndizo zilizomfikasha apo na Mbaya zaidi kwa sasa timu haithamini wachezaji waandamizi
Huu ushauri mshachelewa Watani na cha ajabu mmekuja kuyajua baada ya sisi kumwacha ile majuzi. Lol
 
Hajatujua vizuri yule. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naye ajiandae kisaikolojia kama wenzie.

Na mtamjua vizuri siku mumuanzishe halafu mumfanyie Sub huku akiwa anataka kuendelea kucheza hapo ndo mtaziona akili zake.
Sema mpira was bongo kwa kuvunja Nazi na vibuyu naukubali, maana nasikiaga kale Katoto na Muhammed Hussein ukija pale utacheza kidogo utakula skadi za kutosha then waanza sugua.

Hilo la kufanyiwa sub mtani nikuhakikishie kwenye pesa hakuna jeuri uku alipokuja hakuna mkubwa wakututisha kwa sasa labda ni mwamedi tu
 
Hahahaaa. Lol.

Nawaambia tu Mtani from yesterday onwards we are ready for anything.

No way out kwani tumeshajua kwa sasa Yanga ni kama watoto Yatima kwani hatuna msaada toka kokote labda tuende FIFA ila hawa tiefuefu hamna kitu.
Usiniambie Mme miss malinzi.

Mpaka umeongea ki malkia Leo kwa msisitizo mtani; ama kweli morrisoni sio MTU mzuri 😁
 
Mtasema yote leo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ila kiukweli hakuna anayekubali kusugua benchi eti

Yetu macho na usisahau wanasemaga siku zote huwa halifichiki pembe la ng'ombe anaeza jitahidi weee mwisho wa siku akarudi kule kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…