Nilimsikiliza mtu alie muunganishia Ngassa dili la kipindi kile kwenda Sudani, Yanga wakamficha Ngasa wakamlisha sumu hata walipo kuja mwachia jamaa akajitahidi kumweleza Ngassa ukubwa wa pesa ambayo angepata 1.6bil kwa miaka 4, Ngasa akatolea nje kwasasabu tu jamaa alikua anapewa na wasudani mil 18 deal ikiwa tayari, akamwambia jamaa atafute pesa kwa nguvu zake asimtegemee yeye
Hadi kuwekeza kwenye dhamana za serikal alipewa hesabu hyo, angechukua dolla lak 2 akatia , leo hii angekua na mil 11 kwa mwez... sijui jangwan walimloga, kakosa dili ya maisha