Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mikia mnashindwa kutuelewa,sisi wananchi hatusikitiki wala kuumia kutokana na Morrison au Tshishimbi kuja kwenu la hasha! Sisi tunaumia kutokana na uongozi wetu unavyoonekana kutoeleweka. Mfano Tshishimbi tunajua tumeshamwacha hatuna kesi nae tena hivyo hata kichaa Morrison ilipaswa iwe hivyo pia. Yanga ni kubwa kuliko timu yoyote hapa nchini!
 
ko ndio maana yake nini?
Kuna haja ya sisi mashabiki kuwa waelewa na si kutaka Big Result Now ( BRN)
Tuwe tunawadai viongozi wetu mipango walionayo ili kuboresha kikosi sio kudai matokeo wakati unaona kabsa timu mbovu.
 
Mikia mnashindwa kutuelewa,sisi wananchi hatusikitiki wala kuumia kutokana na Morrison au Tshishimbi kuja kwenu la hasha! Sisi tunaumia kutokana na uongozi wetu unavyoonekana kutoeleweka. ...
Ni yale yale tu, ni kwamba Simba inaleta mvurugano kati yenu mashabiki na viongozi wenu
 
Nikisoma maoni ya mbumbumbu, kwa asilimia kubwa wanarejea maneno ya mwalimu nguli wa Madrasa, ndugu Haji
Na wewe endelea kurejea maneno ya GSM kwamba Morrison na Tshishimbi walishasaini mikataba ya miaka miwili hadi 2022
 
I'm proud kurejea maneno ya GSM, taasisi kubwa

Sio kurejea maneno ya kajamaa flani ambako kamefika hapo kalipo sababu ya sympathy japo ni kilaza
Na wewe endelea kurejea maneno ya GSM kwamba Morrison na Tshishimbi walishasaini mikataba ya miaka miwili hadi 2022
 
I'm proud kurejea maneno ya GSM, taasisi kubwa. Sio kurejea maneno ya kajamaa flani ambako kamefika hapo kalipo sababu ya sympathy japo ni kilaza
Heri wewe unayeweza kustahimili maumivu yanayotokana na hako kajamaa. Lakini nakuhakikishia bila shaka, hako kajamaa kameumiza mioyo ya wana Yanga wengi mno kutokana na maneno yake, na usidhani umemaliza kazi kwa kuweza kuyahimili, bali bado una kazi nyingine ya kuwatuliza wana Yanga wenzako wengi
 
Kilaza haji anipe maumivu ya kustahimili [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]

Heri wewe anayekufikisha kileleni kwa maneno yake tu, kiasi cha kudhani anawapa wengine maumivu [emoji41]
 
GSM hawana mkataba wa miaka 2 na Morrison HUO NDO UKWELI. KAMA WANAO WAUTOE..
na waseme walimlipa sh ngapi.
Vinginevyo IMETOKA HYO.
MCHEZAJI TAYARI YUPO SIMBA.sisi hatuongei mengi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wakupe wewe? TFF wamesema mkataka wa Morrison na Yanga wa miaka 2 umekabidhiwa Polisi kwa uchunguzi kuona kama kuna forgery au la! Wewe unalazimisha hapa wautoe!!
 
Kwani wakiutoa watu wakaona ndo utakuwa umebadilishwa ukweli?.
Wakati morrison anasaini hyo miaka 2 nani alikuwa shahidi?..
Na je huo mkataba wa miaka 2 morrison anao makaratasi yake?
Wakupe wewe? TFF wamesema mkataka wa Morrison na Yanga wa miaka 2 umekabidhiwa Polisi kwa uchunguzi kuona kama kuna forgery au la! Wewe unalazimisha hapa wautoe!!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kilaza haji anipe maumivu ya kustahimili [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]

Heri wewe anayekufikisha kileleni kwa maneno yake tu, kiasi cha kudhani anawapa wengine maumivu [emoji41]
[emoji23][emoji23]
 
Hili la Deo Kanda kuja limekaaje!? Na mnalipokewje wananchi wenzangu!?
 
Basi tumewaachia kanda sasa
Mchezo huu hauitaji hasira, natumai nyoyo zimekunjuka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…