mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
So senzo alikua rais pale mkiani [emoji3],hlf kaduguda atakua nani [emoji3]
Shadeeya wameanzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi nyumba ya vioo.....tunamafaili ya timu nzima hadi mshahara wa Hajji........tumeanza na huyu[emoji23][emoji23]View attachment 1532628
Mbona umeongea kwa huruma hivyo!!Na huyo MUMPE mkataba wa miezi 6 alafu azam wamuone waje wambebe
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hamna kitu kama iko. Next season VPL ni yetu. ππEeeeh baba Mungu muumba wa mbingu na nchi mjaalie afya njema huyu kiumbe wako Shadeeya pamoja na furaha ya kudumu hata pale zitakapotimia zile Back to Back 10. Eimeeeeen.
Mbona mkono wa wananiliu eti? ππShadeeya wameanzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi nyumba ya vioo.....tunamafaili ya timu nzima hadi mshahara wa Hajji........tumeanza na huyuππView attachment 1532628
Potelea Pwete. πππ Hata mkisema anaenda shiffield Wednesday. πππSenzo
Anatoka Liverpool anaenda Bolton.
Mutajaa sana kule Taasisi ya Moyo. πKumbe ni free agent haya kamsajilini sana tuone.
Litakuwa ni ajabu la dunia kwa Chama kucheza Yanga
USITUFOKEE. πππHata Magori wakati anaondoka hatukupenda, pengo la CEO linazibika kiwepesi, aliwakimbia Orlando itakua sisi bana, issue ni kupoteza Mchezaji..hapo ndipo patamu
Mbona umeongea kwa huruma hivyo!!View attachment 1532671
Mbona umeongea kwa huruma hivyo!!View attachment 1532671
Mpaka sasa tunaongoza 2 - 1 ππEndeleeni kujifariji ila mnaugulia kimya kimya[emoji16]
Hahahaaa. Noma sana.Walinunua bia wakajiona wajaanja
Sawa watu wamenunua bar kabisa
Wajichague nani na nani waje kuwa wahudumu [emoji2]
Yaani kabando kangu ka 500 kanakaribia kuisha hapa. Hebu nijiunge jumatatu ndo hii. πππSwahiba nguvu imerudi,j3 toka viunga vya tff ndio utafurahi zaidi iwapo haki itatendeka
Mtatuviyu sana dhisi taimu. π€£Page yao hyo hapo jiulize kwanini HAWAJAMPOST MCHEZAJI WAO MPYA?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Utagundua us ajili wa senzo UNA MAKANDO KANDO.admin hajui senzo a muite nani mchezaji au mwenyekiti mpya vipi kuhusu mshindo msolaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1532677
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
The best commentKati ya back-to-back za ubingwa misimu mitatu, misimu miwili Simba imechukua bila ya kuwapo Senzo. Simba imefuzu group stage, ikashika namba mbili katika group, ikacheza robo fainali ya kombe la CAF Champions League, Senzo hakuwapo. Sasa hapo chozi litalenga kwa msingi upi? Hii ni post ambayo ilitangazwa, watu wakaomba na Senzo akapata. Vivyo hivyo wapo watakaoomba na atapatikana CEO. Wenzenu wanasajili wachezaji, ninyi mnasajili CEO ambaye angeweza akajiunga muda wowote tu
Hahahahaaaaa. Kama nyie mlivyomkimbilia taputapu Morison. Teh teh.Hahahahahahahahah Wazee wa kukimbilia Mataputapu
Mtani mmemsaini Farid Musa ?Hahahahaaaaa. Kama nyie mlivyomkimbilia taputapu Morison. Teh teh.
Bado sijaipata hii Mtani.
Nadhani umeona Jana siku haijaisha yaliyotokeaMpaka lini Mtani?