Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Hahahaaa. Tutalazwa kwa zamu mwaka huu.
Yaani ni mwendo wa mioyo kufyatuka tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Tuhamishie lawama kwa Mamluki kwani kitu gani banaa. 🤣Mkuu sasa nimekubali maneno yako, hakika taarifa zako nyingi ni za jikoni kabisa. Utadhani kuna mamluki yumo ndani ya wanaojiita viongozi wa Simba!!!
Siku za nyuma sikuwahi kukubali namna kina Kaburu walivyokua wanaiendesha Simba. Sasa hivi naona Hans anafuata nyayo zilezile! Magori alisema CEO ni cheo kidogo anataka aingie kwenye Board. Wakampa Senzo nafasi lakini wakawa wanaingilia utendaji wake!
Bora Yanga ingekua tumefungwa na Yanga uchungu ungeisha baada ya siku mbili tatu ila hili la Senzo binafsi limeniuma sana. Hii ni hujuma inayotoka ndani ya Simba
Nani kakwambia na Yanga ni CEO?
Hahahahaaa. Najiuliza hivi kimalikia kinakujaga muda gani mana naona na wewe umekimwaga leo? 🤣🤣🤣 Ndio machungu ama. 🤣🤣Nakubaliana nawe 100%. We still have a long way to go. FoS kama ahawakua wameridhika na kuooteza nafasi yao ya kupiga pale Club na pesa zao walizokua wanikopesha team kwa riba.
Acha kabisa Swahiba. 🔥🔥🔥🔥Kama nakuona vile raha uliyokua nayo hapo 😀
Hatumtaki Manara sisi tutamsajili Mo kabisa. 😅😂😂Msajilini na Manara ili Yanga ya msimu ujao iwe tishio[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!! Japo watu wanajifariji kwa kumponda ila jamaa kuna alichokifanya hata kama ni kidogo.
Hahahaaa. Kwenye Soka la bongo hata haizuiliki hiyo Mtani.Ila angalia usije ukaanza kulalamika bdae maana nyie mashabiki wa Utopolo furaha yenu huwa haidumu masaa24[emoji16]
Hatuombei iwe hivyo ila ikitokea pia haitakuwa ajabu Mtani.Yataisha tu, najua mtamfukuza si muda mrefu.
Tulieni tutawaambia nafasi aliyopatiwa. Msiwe na pureeesshha.Atakua mwenyekiti wa usajili au[emoji16]
Tulieni tutawaambia nafasi aliyopatiwa. Msiwe na pureeesshha.
Katika Mikataba yake ni dhahiri nafasi aliyojia anaijua ila sisi wa huku nje ndio hatujatangaziwa rasmi.Bdae sio mnaanza kumtukana Senzo
Usiseme sijakwambia......Kikao kinachoendelea TFF huko mkisalimika leo ni Mungu tu ndio anajua.Hahahaaa. Kwenye Soka la bongo hata haizuiliki hiyo Mtani.
Ikitokea ntakuwa tayari.
Channel gani wanaonyesha eti? 🤣🤣Usiseme sijakwambia......Kikao kinachoendelea TFF huko mkisalimika leo ni Mungu tu ndio anajua.
Natamani sana hayo maamuzi yatoke ili tujue mbivu na mbichi.Usiseme sijakwambia......Kikao kinachoendelea TFF huko mkisalimika leo ni Mungu tu ndio anajua.