Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Itilie nyama kidogo kwa maelezo.
Asanteni wananchi kwa kuvaa, kununua, kujichora na kupeana zawadi za jezi za msimu uliopita, tukae tayari kwa jezi nyingine bora kabisa za msimu wa 2020/2021.

Uongozi wa Yanga ndo umesema hivyo.

Baada ya hiyo habari ndio nikaweka hizo picha za kuonyesha vile namna jezi zilikuwa na hata mapokea ya uvaaji pia.
 
Maneno ya wakosaji hayoo. [emoji41][emoji41]
KESI YA MORISON DHIDI YA YANGA

Mkataba aliosaini wa miezi sita na Yanga haukua halali kwasabau Passport ya Morrison inathibitisha aliingia nchini Tarehe 17 wakati dirisha la usajili lilifungwa tarehe 15. Hivyo mkataba wa Morrison na Yanga ni batili.

ADHABU ATAKAYOKUTANA NAYO YANGA

Moja ya adhabu watakayokutana nayo Yanga ni kupokonywa point zote amabazo Morrison amecheza na kufungiwa madirisha mawili ya usajili.

KIKAO KINAENDELEA HUKOO
 
Asante.
 
Baada ya Manara kukanusha kuhusu chama, Deo kanda nae akanusha, what a disappointmen, chama wenu na deo kanda ni yule kimwana shomara.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni mjinga... Mchezaji anachezaje bila TFF kumuidhinisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…