Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itilie nyama kidogo kwa maelezo.
WASAFI TVChannel gani wanaonyesha eti? 🤣🤣
Asanteni wananchi kwa kuvaa, kununua, kujichora na kupeana zawadi za jezi za msimu uliopita, tukae tayari kwa jezi nyingine bora kabisa za msimu wa 2020/2021.Itilie nyama kidogo kwa maelezo.
Hahahaaaa. Haya Mtani. 🙏🙏WASAFI TV
Lol.Nimeona uchebe amewasili airport tayari.
KESI YA MORISON DHIDI YA YANGAManeno ya wakosaji hayoo. [emoji41][emoji41]
Asante.Asanteni wananchi kwa kuvaa, kununua, kujichora na kupeana zawadi za jezi za msimu uliopita, tukae tayari kwa jezi nyingine bora kabisa za msimu wa 2020/2021.
Uongozi wa Yanga ndo umesema hivyo.
Baada ya hiyo habari ndio nikaweka hizo picha za kuonyesha vile namna jezi zilikuwa na hata mapokea ya uvaaji pia.
Wewe ni mjinga... Mchezaji anachezaje bila TFF kumuidhinisha?KESI YA MORISON DHIDI YA YANGA
Mkataba aliosaini wa miezi sita na Yanga haukua halali kwasabau Passport ya Morrison inathibitisha aliingia nchini Tarehe 17 wakati dirisha la usajili lilifungwa tarehe 15. Hivyo mkataba wa Morrison na Yanga ni batili.
ADHABU ATAKAYOKUTANA NAYO YANGA
Moja ya adhabu watakayokutana nayo Yanga ni kupokonywa point zote amabazo Morrison amecheza na kufungiwa madirisha mawili ya usajili.
KIKAO KINAENDELEA HUKOO
Senzo ndio anaenda sasa kusimamia Yale mabadiliko lzm waanze na uongozi then washuke chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia na Yanga atakuwa CEO?