Tatizo bana hizi mambo kila mmoja anavutia kwake.Kama yanga hawana mkataba wa morrison wa miaka 2 mnategemea nini?.
Hakuna HURUMA kwenye mambo ya kisherria.
Msije mkaanza kusema mnaonewa kisa ni masikini
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tunakubali lakini hadi kasaini ni dhahiri amejuwa ni nini atafanya.
Tunakubali lakini hadi kasaini ni dhahiri amejuwa ni nini atafanya.
Ndio mujiulize wapi mumekosea sasa sababu mnadai sijui mnamrudisha yule aliyekuwepo kabla yake sasa nawaza mlishindwanaje naye mpaka leo mumuone anafaa tena?sasa hivi Hana KAZI .
Cheo cha CEO NDO KWA HERI.
alikosa nini simba mpaka akakubali kurubuniwa?
huyo ATARUDI sauzi kimya kimya
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ndio mujiulize wapi mumekosea sasa sababu mnadai sijui mnamrudisha yule aliyekuwepo kabla yake sasa nawaza mlishindwanaje naye mpaka leo mumuone anafaa tena?
Hatujapoteza kitu sisi, kinachosikitisha ni kwamba atawapa taarifa zetu nyingi sana na mipango mingi tu, hiyo ndio shida na sii zaid ya hapo.. lakn pia , mpaka sasa hajatangazwa popote kama ni mwajiriwa wenu au GSMHalafu mkikaa eti oooh. Senzo anacheza namba gani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati kawauma mbaya.
Kuna kazi kusikiliza taarifa ? au kuwadha data kwenye simu yangu ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dooh!! Hii kazi uliyojipa ni kubwa sana Mtani.
Saiv saa ngapi?? nyinyi hakuna penye afadhali kwenu ushinde ushindwe kote pabaya kwenuKwani saa nne mbali basi?
Mchezaji mlie msajili , bado anamkataba na Mtibwa, nyie mmepita nae juu juu tu , mmeoa mke wa mtu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo Msala na Mtibwa ni upi?
Sasa presha za nini eti?Hatujapoteza kitu sisi, kinachosikitisha ni kwamba atawapa taarifa zetu nyingi sana na mipango mingi tu, hiyo ndio shida na sii zaid ya hapo.. lakn pia , mpaka sasa hajatangazwa popote kama ni mwajiriwa wenu au GSM
Tooba!! Na huko unakosikiliza hizo taarifa unazipata za Yanga tu. LolKuna kazi kusikiliza taarifa ? au kuwadha data kwenye simu yangu ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukishinda pabaya patakuwa wapi?Saiv saa ngapi?? nyinyi hakuna penye afadhali kwenu ushinde ushindwe kote pabaya kwenu
10:39AmSaiv saa ngapi?? nyinyi hakuna penye afadhali kwenu ushinde ushindwe kote pabaya kwenu
Mbona sijaona sehemu Mtibwa wakiiongelea hii?Mchezaji mlie msajili , bado anamkataba na Mtibwa, nyie mmepita nae juu juu tu , mmeoa mke wa mtu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulieni yatajulikana tu hayo huko mbeleni.Hakuna sehemu simba tulipokosea.
Amekurupuka huyo na atakuja kujua.
Ajiulize ofisi ya CEO PALE YANGA IPO WAPI?.
labda GSM watamuajiri kama mfanyakazi wao ila sio kiongozi wa yanga
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu simba tulipokosea.
Amekurupuka huyo na atakuja kujua.
Ajiulize ofisi ya CEO PALE YANGA IPO WAPI?.
labda GSM watamuajiri kama mfanyakazi wao ila sio kiongozi wa yanga
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Naona kumekucha huko kwenu lakini mpo kimyaaaaa kama hakuna kinachoendelea.Mchezaji mlie msajili , bado anamkataba na Mtibwa, nyie mmepita nae juu juu tu , mmeoa mke wa mtu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katibu Mkuu au mtendaji mkuu ni nafasi ya kuajiri , ila nadhani hapo ktk kuidhinisha Wajumbe kamati tendaji wahusikeItapendeza zaidi japo nawaza hakuna taratibu kweli za mtu kuwa Katibu Mkuu hasa kwa upande wa Wanachama katika kuhusika kumuidhinisha?
Au ni uongozi tu ndio unaamua fulani awe Katibu Mkuu?
Oooh!! Sawa Mtani.Katibu Mkuu au mtendaji mkuu ni nafasi ya kuajiri , ila nadhani hapo ktk kuidhinisha Wajumbe kamati tendaji wahusike