Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

sasa hivi Hana KAZI .
Cheo cha CEO NDO KWA HERI.
alikosa nini simba mpaka akakubali kurubuniwa?
huyo ATARUDI sauzi kimya kimya

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ndio mujiulize wapi mumekosea sasa sababu mnadai sijui mnamrudisha yule aliyekuwepo kabla yake sasa nawaza mlishindwanaje naye mpaka leo mumuone anafaa tena?
 
Hahahahaaaaa. lol.

BABU ANAWASILIMIA HUKU. Teh teh

20200812_092542.jpg
 
Hakuna sehemu simba tulipokosea.
Amekurupuka huyo na atakuja kujua.
Ajiulize ofisi ya CEO PALE YANGA IPO WAPI?.
labda GSM watamuajiri kama mfanyakazi wao ila sio kiongozi wa yanga
Ndio mujiulize wapi mumekosea sasa sababu mnadai sijui mnamrudisha yule aliyekuwepo kabla yake sasa nawaza mlishindwanaje naye mpaka leo mumuone anafaa tena?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Halafu mkikaa eti oooh. Senzo anacheza namba gani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakati kawauma mbaya.
Hatujapoteza kitu sisi, kinachosikitisha ni kwamba atawapa taarifa zetu nyingi sana na mipango mingi tu, hiyo ndio shida na sii zaid ya hapo.. lakn pia , mpaka sasa hajatangazwa popote kama ni mwajiriwa wenu au GSM
 
Sasa presha za nini eti?

Tulieni huenda akajirudia zake South. 😜
 
Saiv saa ngapi?? nyinyi hakuna penye afadhali kwenu ushinde ushindwe kote pabaya kwenu
Tukishinda pabaya patakuwa wapi?

Labda tukishindwa ndo waeza sema hivyo mana hatutapumua kwa kelele zenu.
 
Mchezaji mlie msajili , bado anamkataba na Mtibwa, nyie mmepita nae juu juu tu , mmeoa mke wa mtu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona sijaona sehemu Mtibwa wakiiongelea hii?
 
Hakuna sehemu simba tulipokosea.
Amekurupuka huyo na atakuja kujua.
Ajiulize ofisi ya CEO PALE YANGA IPO WAPI?.
labda GSM watamuajiri kama mfanyakazi wao ila sio kiongozi wa yanga

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mchezaji mlie msajili , bado anamkataba na Mtibwa, nyie mmepita nae juu juu tu , mmeoa mke wa mtu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kumekucha huko kwenu lakini mpo kimyaaaaa kama hakuna kinachoendelea.

Haya yamwageni hapa yule mliyemfukuzilia mbali huku mkidai alikuwa rafiki wa Senzo kafanyaje eti?
 
Itapendeza zaidi japo nawaza hakuna taratibu kweli za mtu kuwa Katibu Mkuu hasa kwa upande wa Wanachama katika kuhusika kumuidhinisha?

Au ni uongozi tu ndio unaamua fulani awe Katibu Mkuu?
Katibu Mkuu au mtendaji mkuu ni nafasi ya kuajiri , ila nadhani hapo ktk kuidhinisha Wajumbe kamati tendaji wahusike
 
Back
Top Bottom