Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tatizo bana hizi mambo kila mmoja anavutia kwake.Kama yanga hawana mkataba wa morrison wa miaka 2 mnategemea nini?.
Hakuna HURUMA kwenye mambo ya kisherria.
Msije mkaanza kusema mnaonewa kisa ni masikini
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tuisubiri hiyo saa nne Mtani.