Hahahaaa. Halafu ulivyo kajanja kama haupo vile. 😂😂😂Aisee hivi wakati unaandika hukudondosha simu kweli?😜 Daah naiona hofu uliyonayo kila nikisoma comments zako bora hili sakata liishe tu ili amani yako irejee😁
Mie nataka wazidi kupoteana tu. 🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hahahaha. Doh
Hahahaa wape salaaaaamHahahaaa. Halafu ulivyo kajanja kama haupo vile. 😂😂😂
Unajifanya kama hufuatilii yanayoendelea kumbe unapita kimya kimya ukisubiri yanayoendelea Twiefuefu.
huyo hamuwez fanya nae kazi tena, mmeshapelekana kwa pilato..Oooh. Ahsante kwa ufafanuzi Mtani. [emoji120][emoji120]
Japo tusubiri tuone kama itakuwa hivyo.
Morrison yupo kwenye nyumba yake masaki,ndiyo maana anahangaikaCha ajabu mjumbe Hans kabakia anabwabwaja tu. 😂😂😂
Wanatafuta huruma eti. Lol
Nimekumiss mtaniImeisha hiyoooo. [emoji41]
Nakazia! Kutuaminisha Uppuuzi haifai kabisa aisee.Aisee! Morrison kashinda, mkataba aliyoingia na yanga una mapungufu. Wakili wa Yanga achunguzwe.
Nimejaa tele Mtani. Naona unaibuka kwa matukio lol.Nimekumiss mtani
Hahah sio hivyo mtani....Nimejaa tele Mtani. Naona unaibuka kwa matukio lol.