Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Aisee hivi wakati unaandika hukudondosha simu kweli?😜 Daah naiona hofu uliyonayo kila nikisoma comments zako bora hili sakata liishe tu ili amani yako irejee😁
Hahahaaa. Halafu ulivyo kajanja kama haupo vile. 😂😂😂

Unajifanya kama hufuatilii yanayoendelea kumbe unapita kimya kimya ukisubiri yanayoendelea Twiefuefu.
 
Hahahaaa. Halafu ulivyo kajanja kama haupo vile. 😂😂😂

Unajifanya kama hufuatilii yanayoendelea kumbe unapita kimya kimya ukisubiri yanayoendelea Twiefuefu.
Hahahaa wape salaaaaam
Eti Shadeeya kwa sasa umetega nini kule Karume? 👂💣
 
Hii si mara ya kwanza....mawakili wa Yanga wana matatizo....inabidi Yanga wabadilike kwakweli. Wanatutia aibu kila siku
 
MORRISON IS RED! [emoji23][emoji23][emoji23] Uto kama Uto
simbasctanzania-20200808-0003.jpg
 
Back
Top Bottom