Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Halafu ulivyo kajanja kama haupo vile. 😂😂😂Aisee hivi wakati unaandika hukudondosha simu kweli?😜 Daah naiona hofu uliyonayo kila nikisoma comments zako bora hili sakata liishe tu ili amani yako irejee😁
Unajifanya kama hufuatilii yanayoendelea kumbe unapita kimya kimya ukisubiri yanayoendelea Twiefuefu.