Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ushabiki sio uadui shtuka weweeee. 👌👌👌
 
Nyie subirini msimu ujao tuwa-Tonombe.
 
Hawawapendi kwa maana wakishafika kwenye timu yenu performance zao zinashuka.

Makubwa nikimaanisha kucheza kwa kiwango kinacho acha kumbukumbu.
Mmmh!! Ukiona mtu perfomance yake inashuka basi ujue lilikuwa garasa hilo Mtani.

Kaputeini wetu msimu uliopita mbona alituonyesha kiwango bora toka tumemsajili kabla ya kupata majeraha.
 
Huo usajili mĺioufanya hakuna mchezaji hata mmoja mwenye kiwango cha kumfikia Chama + Miquissone +Bwalya + Bm3 hayupo hàpo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…