Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Duuhh!! Sasa ndo unatubananisha kwa kutuita kauli zisizofaa Mtani.

Ilishaisha iyooo ishu ya Morison saa hizi tupo na kina Tuisila.
Huyu Tuisila ni mchezaji wa Simba SC next season,
Tega sikio.....

Kwanza muulize mapema GSM maana msije baadae mkaambiwa walikuwa wamesinya mkopo wa miezi 6 mkaanza kulialia majukwaani humu,

Jamaa hawana namba kule na timu imefilisika hawawezi kulipa pesa mingi mtu yupo mbao ndefu so wamesinya mkopo wa msimu mmoja kama Makambo tu, msije kuja sema hamjaambiwa mkaanza kung'ang'ania wachezaji wa watu.

NB: Mmehakikisha dole gumba lipo? [emoji23]
 
Hakuna mchezaji hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante.. lakn nikujuze tu Papa Molinga alikua bora kuliko huyo mshambuliaji wenu , mwaka mzima hana goli

ila ligi yao kule huenda ni ngumu, who knows, anaweza fanya vizuri

kama alikua mzuri si mngemsajili nyie mikia
 
Kitaalamu inaitwaje hii? [emoji23][emoji23]


Akili za nyani bwana, yaani unamtambulisha mchezaji na jezi za timu mbili tofauti,

Baadae mkiambiwa kuwa hakuna mkataba muanze kulialia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…