DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Huyu Tuisila ni mchezaji wa Simba SC next season,Duuhh!! Sasa ndo unatubananisha kwa kutuita kauli zisizofaa Mtani.
Ilishaisha iyooo ishu ya Morison saa hizi tupo na kina Tuisila.
Tega sikio.....
Kwanza muulize mapema GSM maana msije baadae mkaambiwa walikuwa wamesinya mkopo wa miezi 6 mkaanza kulialia majukwaani humu,
Jamaa hawana namba kule na timu imefilisika hawawezi kulipa pesa mingi mtu yupo mbao ndefu so wamesinya mkopo wa msimu mmoja kama Makambo tu, msije kuja sema hamjaambiwa mkaanza kung'ang'ania wachezaji wa watu.
NB: Mmehakikisha dole gumba lipo? [emoji23]
