La kumbeba injinia au la kwenda Airport?Ungepata nafasi ungefanya hilo tukio?
La kumbeba injinia au la kwenda Airport?
Daah!! Kwa kuwa tumefanya Wananchi wacha jibu nilimeze Mtani. πKumbeba injinia.
Hvi wamembeba kwa ajili ya nini!??Daah!! Kwa kuwa tumefanya Wananchi wacha jibu nilimeze Mtani. [emoji41]
Daah!! Kwa kuwa tumefanya Wananchi wacha jibu nilimeze Mtani. π
Nachokupendea Shadeeya uko utopolo pekee yako kwenye jukwaa hili na unajitahidi kuitendea vema kazi ya kuitetea utopolo.ILA NAOMBEA HAWA MAJAMAA WASIWE TYPE YA KINA YIKPE, NA MORISSON MANA TUTAWEKA WAPI SURA ZETU KWA SHANGWE HILI. [emoji848][emoji848]
View attachment 1543046
Funguka tu acha woga.Daah!! Kwa kuwa tumefanya Wananchi wacha jibu nilimeze Mtani. [emoji41]
Hvi wamembeba kwa ajili ya nini!??
Mahaba!?? Na kama ni mahaba kipi alichofanya mpaka kimewakuna hawa wana zengo kumbeba
Ulimbukeni!??
Mmmh!!Hahaha, yaani imeniuma ila imebidi nikae nalo pia na mimi.
In short nimeona hata huyo aliyekubali kubebwa ni wa ajabu.
Mmmh!!
Wangefanya kipi ndo kingekuwa sahihi kwenu Watani?
Nionavyo mtuwache Wananchi kwani haya ni ya kwetu. π
Hahahaaa. Nimeuliza wangefanya kipi ndo mungeona sahihi Mtani?Ungekuwa wewe ndiye huyo aliyebebwa ungekubali kubebwa?
Woga kwa nani Mtani. Hamna anayenijua hapa. π π πFunguka tu acha woga.
Au siku zinahesabika?
Hawezi kujibu atazunguka tu..Ungekuwa wewe ndiye huyo aliyebebwa ungekubali kubebwa?
Nimerudia kusoma ulichoandika. Lol.Hvi wamembeba kwa ajili ya nini!??
Mahaba!?? Na kama ni mahaba kipi alichofanya mpaka kimewakuna hawa wana zengo kumbeba
Ulimbukeni!??
Siwezi kuwa timu ya wananchiTupo wengi mbona bila kuwasahau na nyie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo ndo maana halisi ya Timu ya Wananchi.
Kwani mlitaka wafanyeje? Mbona hamtaki kujibu?Hawezi kujibu atazunguka tu..
Hawezi kujibu atazunguka tu..
Hahahaaaa. Lol.Siwezi kuwa timu ya wananchi
Hahahah.Nimerudia kusoma ulichoandika. Lol.
Mtani hapa ni chuki umeweka sasa , sababu kila mmoja ana haki ya kufanya kile ambacho kinamfurahisha sasa huo ulimbikeni tena veeeepeeee.
Naona anakwepa kwepa swali langu.
Ngoja tumpumzishe maana wanayoyafanya wenzake hata yeye anayaonea aibu.